Meneja Babu Tale!

Meneja Babu Tale!

n kweli tale anawasaidia sana wasanii anao wa manage,lakin wakat huohuo anaharibu Bongofleva..
ILI GAME YA BONGO IENDELEE INABIDI WATU KAMA TALE WASIWEPO..

Mkuu waoneshe au toa ufafanuzi jinsi Tale anavyo haribu hiyo bongofleva
 
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo most smartest in the crew tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo.(na Hilo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana rejea mapacha walivyoenda kulia Lia kwa ruge) Anaiendesha game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge
 
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo kichwa cha crew nzima tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo. Anacheza game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge

yani ninavyosoma hivi ndo nazid kumchukia yule baba junior japo chuki zangu hazimuathiri but simpendi ruge jamani na mbwa wake woteee....!
 
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo most smartest in the crew tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo.(na Hilo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana rejea mapacha walivyoenda kulia Lia kwa ruge) Anaiendesha game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge

Mkuu ni kweli Mimi pia sijawahi kiwa fan wa Ruge lakini lazima tukubali tu huyu mtu ni smart kichwani ana kitu flani ambacho hakipo kwa wamiliki/waendeshaji wa baadhi ya Radio
 
Jamaa aliyesema tale kibongo bongo anaweza..
Siwezi kataa amethubutu sema kama tunataka muxiki uwende next lever huo uswahili unamwisho..la sivyo tutaiahia hivyo hivyo..
Jamaa kwanza maimuna aka english not reachable..huwa nawaza anaongea nini akisafiri na Diamond nchi zisizoongea swahili..Lugha ya kiingereza pale sifuri anaunga unga tu...ila hapo ndo unaambiwa jamaa ndo kila kitu daaah!
Ni NEXT LEVEL sio iyo yako!
 
yani ninavyosoma hivi ndo nazid kumchukia yule baba junior japo chuki zangu hazimuathiri but simpendi ruge jamani na mbwa wake woteee....!

Yaani sijui ni kwa nini mtu yoyote anyeikandamiza hii REDIO NA WATU WAKE WAKATI akilini mwake anajua kwamba wamejaribu wameweza na wanasonga mbele namuona kama LE mbululaaaaaz alijisemea LE BILIONEA LE BIG SHOW!
 
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo most smartest in the crew tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo.(na Hilo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana rejea mapacha walivyoenda kulia Lia kwa ruge) Anaiendesha game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge
unachekesha sana malezo yakotu yanaonyesha unavyomkubari huwezimchukia mtu afu unamwongeleaongelea ndo zile simpendi yule kaka halafu kila siku lazima ujue anafanya nini na yupo wapi that is foolish!
 
Yaani sijui ni kwa nini mtu yoyote anyeikandamiza hii REDIO NA WATU WAKE WAKATI akilini mwake anajua kwamba wamejaribu wameweza na wanasonga mbele namuona kama LE mbululaaaaaz alijisemea LE BILIONEA LE BIG SHOW!

hata nikiwa mbululaa siipendi na simpendi huo ndo msimamo wangu so whatever name u call me i hate them upo apooo...?!!!
 
Diamond Yuko chini clouds media babu tale said fella Ni mameneja vivuli
 
Wakuu nawaibieni siri meneja WA diamond ni ruge hyo babu tale na said fella ni botion tu...hebu angalien mambo anayoyafanya diamond kwa akili ya kawaida utagundua Kuna mtu ambaye Yuko very smart nyuma yake....na cyo bogus km babu tale na fella

Finally,someone with sense speaks out..
Hatimaye mtu mwenye kujielewa kaongea la maama babu talle na ubunifu wapi wapi..
Uswahili sawa..santeee kwa hii comment
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Diamond Yuko chini clouds media babu tale said fella Ni mameneja vivuli

Santeeeee!kumbe kuna watu humu wanajielewa eehee..dah haya ngoja nichukue maji nitazame hii movie..Asante kwa comment iliyoshiba..machache umeongea ujumbe Umejitosheleza👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
unachekesha sana malezo yakotu yanaonyesha unavyomkubari huwezimchukia mtu afu unamwongeleaongelea ndo zile simpendi yule kaka halafu kila siku lazima ujue anafanya nini na yupo wapi that is foolish!
Acheni uvilaza jamaa hapo juu kaongea FACtS aka ugly truth...Ruge is a smart ass guy..he is the brain behind Diamond and all ya successful endorsements diamond has signed..na kwasababu wasanii wetu 98%Kayumba basi bwana ruge anatumia vizuri shule yake aliyoyipiga usa na kuwaibia hawa kayumbaz
 
1. the word is dumb, not dump.

2. its not about being dumb, and it is, then you are the dumb one here.

3. before any show, kuna negotiations zinafanyika, advance payments and so forth... for example, someone hasn't paid your advance, what do you do when time is due??? I insist, the show was cancelled kwa sababu za kiutapeli... WALISTUKA... go and do your research too... mambo ya first class yalikuja just kumsitiri promoter..

4. dont pretend to know much about music and management, otherwise, ditch your ass in and save them.

5. there are lots of lousy managers out there, you ca go and join them, since you seem to want being that, other than yelling on this forum... that wont help
Its called typing error u +÷÷%€¥+¥+¥₩++
Mxiii+₩÷€×¥₩
 
Said Fela+Babu Tale+ Suka na boss wao Ruge hawa watu ndio wameshikilia mwelekeo wa mziki wa Tanzania kwa upande wa bongo fleva

hawa ndio wanawapangia wanamziki style gani waimbe ili waweze kutoka na hapo ndio kuna hatari kubwa sana kwamba watu wanne tu ndio wanaweza kupanga mwelekeo wa mziki wa nchi kubwa kama Tanzania.

Lakini pia tatizo kubwa lipo kwa wasaani kuliko kwa hawa jamaa nasema tatizo kubwa lipo kwa wasanii kwa sababu hawa wasanii wameshajijengea mentality kichwani kwamba bila Clouds hawezi kufanikiwa nadhani wakishaachana na hii mentality watapiga hatua kubwa sana hivi kwa nini utegemee tu Clouds wakati kuna radio kama RFA, Kiss Fm na radio one ambazo zinasikika Tanzania nzima?? tatizo nini hawa wasanii hawaziamini au?

Imejengeka tabia kwamba kila msaani akitaka kutambulisha nyimbo eti ni lazima aanzie kwanza Clouds utadhani radio iko moja tu

Sifurahii ugomvi wa aina yoyote kati ya msanii yeyote na kituo chochote hasa Clouds ila pia sipendi kusikia msaani flani kaenda kuwapigia magoti Clouds napenda nisikie msaanii wasaani wamalize ugomvi na Clouds kwa makubaliano bila kuonekana upande flani ndio unanyenyekewa

Hizi radio zilizobaki nao pia nadhani wamekosa ubunifu hasa kwenye vipindi vya burudani ndio maana Clouds wanaendelea kuwa radio inayopendwa zaidi hasa kwenye vipindi vya burudani hapa kwenye ubunifu naomba niunganishe na Mamanagers pia

Pamoja na mabaya mengi anayomwagiwa Ruge mimi nikiwa mmojawapo lakini lazima tukubaliane tu kwamba huyu jamaa ni mbunifu sana ameitoa Clouds kuwa radio ya kawaida kabisa hadi kuwa Super brand radio kuna vitu watu watamlaumu bure tu sababu hii radio siyo ya umma kwamba inategemea ruzuku ya walala hoi lazima kina Ruge watengeneze pesa ili nao waishi changamoto ni kwa hizo radio nyingine kuwa wabunifu

Dah well said..wewe lazima utakuwa shule imekaa njema na unajielewa..maelezo yako hayana fitna ni ukweli mtupu...👍👍👍☝☝☝..hamna anayefurahia matendo ya hawa kina Ruge sema ndo hivyo nshomile is creative..
 
kwanza unaijua OSATA??? Herufi O katika OSATA ni Othuman Suka ambaye ni mfanyakazi wa Cloudsfm kwenye upande wa kusikiliza/kuhakiki nyimbo za wasanii na kuzipitisha kabla ya kupigwa. Na herufi SA katika OSATA ni Said Fela ambaya ni meneja wa kundi la Tmk Wanaume family, Herufi za mwisho TA katika OSATA ni Tale ambaye pia ni manager wa kundi la Tip Top connection. Check nilipo weka red, and connect the dots.

For you information, Master Jay kam manager Shaa for a long time without success, at last kampeleka kwa Fella and things are working out.

Master jay anamnanage Shaa kimapenzi.. kimziki alikuwa anazuga tu raia yule ndio maana sasa wako free kujitangaza wameshazuga vya kutosha.
 
Watu wengi watajiuliza kwanini wasanii wengi WA wanatka kusikika clouds??? Jibu Ni very simple kwmba clouds fm Ni mainstream ya bongo flava hapa nchini na hii monopoly waliitengeneza kwa juhud Sana back then, at the time radio nyingine walikuwa wamelala usingizi WA pono wakifanya kazi kwa mazoea bila ubunifu at least ea radio wanaonyesha upinzani ,redio km magic fm watangazaji wake wanakula Sana rushwa kutwa kupiga nyimbo mbovu ,kwa staili hii watasubiri Sana kwa ea radio na clouds ,...redio km times na rfa wanajitahid Sana ,msanii anaweza kupitia huko akashine pia ingawa cyo kwa kiasi lkn angalau
 
Kipaji bila management nzuri ni sawa na bure. Kama Diamond mwenyewe anashukuru management ya babu tale na mkubwa fella kwanini wewe uje hapa kuandika kwa hisia kama vile ulinyimwa kitu fulani na huyo babu tale

mkuu cyo management ya babu tale na fela sema management ya ruge ,hawa akina fela Ni puppet tu
 
Back
Top Bottom