Kwa hiyo Mbao na Kagera sugar wazuri kuliko Yanga??Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.
Meneja anaruhusu vipi wachezaji watoke nje ya kambi usiku bila ya kocha kuambiwa.. Toka Cannavaro Yanga kubwa kuliko wewe. Alafu watajwe hao wachezaji watatu waliouza mechi.Mimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
Atakwenda tu na yeye Zahera, kabla yake kuna wengi walipita, ile ni yanga ya wa tz na sio ya wakongomanKwa Nini Aende Kwa Mo Kisirisiri Bila Kuujulisha Uongozi? Huyu Aliuza Mechi
Atakwenda tu na yeye Zahera, kabla yake kuna wengi walipita, ile ni yanga ya wa tz na sio ya wakongomanKwa Nini Aende Kwa Mo Kisirisiri Bila Kuujulisha Uongozi? Huyu Aliuza Mechi
Kwa Nini Aende Kwa Mo Kisirisiri Bila Kuujulisha Uongozi? Huyu Aliuza Mechi
Mmemsika kila cheo chake ndani ya jangwani mwacheni awapeleke putaMimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
Meneja anaruhusu vipi wachezaji watoke nje ya kambi usiku bila ya kocha kuambiwa.. Toka Cannavaro Yanga kubwa kuliko wewe. Alafu watajwe hao wachezaji watatu waliouza mechi.
Zahera ni mvuta bangiMimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
Heee kwa hiyo akitaka kwenda kwa MO aite waandishi wa habari?? Haya Canavaro anasemekana alienda mtafutia kazi mke wake hilo nalo hadi awajulishe??
Mmemsika kila cheo chake ndani ya jangwani mwacheni awapeleke puta
Nani alimwona.Zahera anamtuhumu Harub kuuza mechi dhidi ya Simba. Anasema Harub alionekana ofisini kwa Mo Dewji
Na kwa akili hiyo hiyo kwa kuwa Yanga waliwafunga Kagera na Simba wakafungwa na Kagera ilibidi Simba afungwe na Yanga au sio.Kwa hiyo Mbao na Kagera sugar wazuri kuliko Yanga??
Zahera anamtuhumu Harub kuuza mechi dhidi ya Simba. Anasema Harub alionekana ofisini kwa Mo Dewji
Hivi hiyo simba ni hii hii ya dar es salaam au! Hiyo timu ni mbovu tu kama yanga ila walichozidiana yanga hawana hela tu.Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.