Meneja Canavaro akubali kufukuzwa na Zahera,asema wataondoka wengi

Meneja Canavaro akubali kufukuzwa na Zahera,asema wataondoka wengi

Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.
Kwa hiyo Mbao na Kagera sugar wazuri kuliko Yanga??
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
Meneja anaruhusu vipi wachezaji watoke nje ya kambi usiku bila ya kocha kuambiwa.. Toka Cannavaro Yanga kubwa kuliko wewe. Alafu watajwe hao wachezaji watatu waliouza mechi.
 
Mmemsika kila cheo chake ndani ya jangwani mwacheni awapeleke puta
 
Ni ujinga, ukweli Zahera anarefusha mdomo tu sababu hawana pesa akutane na Tiboroha ataliwa asbuji. Asubili Yanga wapate hela ndo ataona.
 
Tatizo la zahera anachukulia utani kama chuki hajui wachezaji na uongozi wa Simba na yanga hawana chuki wala bifu nje ya uwanja
 
Na mm nilisikia Zahera alimtimua Kanavaro kwa kosa hili na sio kwenda kwa Mo kuomba kazi kwa ajili ya mkewe! Wenye habari hii waongezee
Meneja anaruhusu vipi wachezaji watoke nje ya kambi usiku bila ya kocha kuambiwa.. Toka Cannavaro Yanga kubwa kuliko wewe. Alafu watajwe hao wachezaji watatu waliouza mechi.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
Zahera ni mvuta bangi
 
Sasa za kishamba zimeingizwa Yanga bila kuficha hili Yanga iyumbe ukitaka kuamini hilo yuie wasiempenda akisema aizungumzie Yanga kesho utasikia anadaiwa kodi ya billion 700 Haroub akusoma alama za nyakati kwanza mwalimu alipigiwa simu kuwa Haroub yupo na Mo taarifa zilivuja Kama aliwatoa wachezaji Usiku ulisikia kocha alizungumzia? Lakini wachezaji wenyewe walitoa Siri kilichifanyika Kama walivyokuwa wanatoa Siri kinachitokea wazkutanapo na timu pinzani mpira nidhamu tatizo wabongo wanajua ukicheza Simba umeendelea kumbe upuuzi tu hawajifunzi mtu unapewa heshima unashindwa kujiheshimu hapohapo Simba Wapo Yanga na wanajuwa nini kinachoendelea na kwa malengo gani
 
Zahera anamtuhumu Harub kuuza mechi dhidi ya Simba. Anasema Harub alionekana ofisini kwa Mo Dewji
Nani alimwona.

Mbona yeye ZaaHela alioneka akipiga selfie na vibebi vya simba hajafukuzwa.
 
Kwa hiyo Mbao na Kagera sugar wazuri kuliko Yanga??
Na kwa akili hiyo hiyo kwa kuwa Yanga waliwafunga Kagera na Simba wakafungwa na Kagera ilibidi Simba afungwe na Yanga au sio.

Kama ni hivyo basi timu zingekuwa zinazheza mechi moja halafu zilizobaki ni kulinganisha tu nani alimfunga nani na kwa hiyo matokeo yanatakiwa kuwa hivi au vile.
 
Zahera anamtuhumu Harub kuuza mechi dhidi ya Simba. Anasema Harub alionekana ofisini kwa Mo Dewji

Yeye mbona aliihujumu Yanga siku ya mechi ya Yanga na Lipuli yeye akawa anawapa mipango Vita Dar wakati timu yake ina kibarua Iringa hadi wakakalishwa kimoko
 
Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.
Hivi hiyo simba ni hii hii ya dar es salaam au! Hiyo timu ni mbovu tu kama yanga ila walichozidiana yanga hawana hela tu.
NB: Zahera ni tatizo sasa pale Yanga! Mwanzo niliona mambo mengi anakuwa sahihi kumbe nilikuwa napotea.
 
Back
Top Bottom