Meneja Canavaro akubali kufukuzwa na Zahera,asema wataondoka wengi

Zahera analenga kuwajaza ndugu zake wa Kikongomani pale Yanga.
Muda utashuhudia.
 
Kwa Nini Aende Kwa Mo Kisirisiri Bila Kuujulisha Uongozi? Huyu Aliuza Mechi

Hata mimi napata taabu kidogo hapa...Najua kuwa hakuuza mechi ila kwanini alikwenda kwa Mo? (kama ni kweli) wakati anajua timu hizi mbili pinzani (Simba na Yanga) zilikuwa zinajiandaa kwa mchezo muhimu??? Anaweza kuwa hakuuza mechi ila huenda katika mazungumzo na MO alitoa taarifa muhimu bila yeye kugundua kuwa ametoa taarifa muhimu.
 
Nafikiri ni muhimu kuheshimu mambo binafsi ya mtu,kwa jinsi Yanga pia hata Simba kwa uswahili walionao angewaambia wasingemuelewa...hizi club zetu haziamini mpira wa uwanjani..zinaamini zaidi mpira wa nje ya uwanja.
Halafu mambo yake binafsi kuna umuhimu wa club kuhusishwa?
Huyu kocha wa Yanga ana gubu sana...ila ni suala la muda tu mbichi na mbivu zitajulikana.
 
Hivi wewe unadhani meneja msaidizi wa Man City akionekana anatoka kwa Rais wa Man United unadhani kitaeleweka nini??? Usiingize mambo ya dhana ya uswahili hapa...hata huko ambako wako mbele zaidi kimpira na mambo mengine masuala kama haya hayaruhusiwi kabisa...lazima kuwe na professionalism....kama una mambo yako tafuta muda muafaka wa kuyafanya....na lazima utambue kuwa ukiwa kwenye position fulani nyeti you have sometimes to sacrifice your personal issues...wewe unadhani ofisa wa TBL akionekana anatoka kwenye ofisi za serengeti kitatokea kitu gani??? Hapo Cannavaro alikosea (kama tuhuma hizo za kwenda kwa Mo ni za kweli)..Hakuna ubishi hapo...alichotakiwa kufanya kama kweli ni profssional ni kutoa taarifa kwa vionggozi wake kuwa atakutana na kiongozi (mwekezaji) huyo wa Simba....Mimi ndivyo inavyofahamu kuhusu masuala ya kiutawala na kiuongozi...you have to forgo some of your personal issues...
 
Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.
Unazungumzia Simba hii hii inayopigwa hamsa hamsa ambayo haishindi mpaka ipewe penalty au Simba ipi?
 
Hivi wewe unadhani meneja msaidizi wa Man City akionekana anatoka kwa Rais wa Man United unadhani kitaeleweka nini??? Usiingize mambo ya dhana ya uswahili hapa...hata huko ambako wako mbele zaidi kimpira na mambo mengine masuala kama haya hayaruhusiwi kabisa...lazima kuwe na professionalism....kama una mambo yako tafuta muda muafaka wa kuyafanya....na lazima utambue kuwa ukiwa kwenye position fulani nyeti you have sometimes to sacrifice your personal issues...wewe unadhani ofisa wa TBL akionekana anatoka kwenye ofisi za serengeti kitatokea kitu gani??? Hapo Cannavaro alikosea (kama tuhuma hizo za kwenda kwa Mo ni za kweli)..Hakuna ubishi hapo...alichotakiwa kufanya kama kweli ni profssional ni kutoa taarifa kwa vionggozi wake kuwa atakutana na kiongozi (mwekezaji) huyo wa Simba....Mimi ndivyo inavyofahamu kuhusu masuala ya kiutawala na kiuongozi...you have to forgo some of your personal issues...
Hapana huu ni uswahili period! Ok tuseme kweli alionana na Mo uko wapi ushahidi ambao hauna shaka kwamba alienda kuuza mechi...kama upo uwekwe hadharani sio lugha za ushahidi wa mazingira...ni muhimu haki ikatendeka..mimi naendelea kuamini hili ni gubu tu la Zahera baada ya kuona timu inamshinda...
Yanga kuna matatizo na kubwa ni fedha..ili kutoka hapa ni kukubali tatizo kwani kukubali tatizo ndio mwanzo wa ufumbuzi na si vinginevyo..
 
Jamaa linawageuza vyura kadili atakavyo. Maana yeye ndiye yanga, umasikini mbayaa
Kabisa mkuu.

Tena amewashika haswaa,umasikini mbaya sana,akisema huyu au yule amtaki asubiri ushauri wa mtu yeye fukuza tu
 
Hapana huu ni uswahili period! Ok tuseme kweli alionana na Mo uko wapi ushahidi ambao hauna shaka kwamba alienda kuuza mechi...kama upo uwekwe hadharani sio lugha za ushahidi wa mazingira...ni muhimu haki ikatendeka..mimi naendelea kuamini hili ni gubu tu la Zahera baada ya kuona timu inamshinda...
Yanga kuna matatizo na kubwa ni fedha..ili kutoka hapa ni kukubali tatizo kwani kukubali tatizo ndio mwanzo wa ufumbuzi na si vinginevyo..

Anyway. nayaheshimu mawazo yako..hata mimi naamini kuwa Cannavaro yule ninayemfahamu hawezi kuuza mechi...Ila hoja yangu siyo ya kuuza mechi...Hoja yangu ni kama kweli alikwenda kwa Mo siku chache kabla ya mechi ya Simba na Yanga na bila kuufahamisha uongozi wake...Kama ni kweli alimuona huyo anayeitwa Mo na bila kuwafahamisha viongozi wake kitendo hicho ni unprofessional...Kama ni kweli alikwenda kumuona Mo bila kuwaarifu wenzake ndani ya uongozi ni lazima awaombe radhi wanayanga na viongozi wenzake...Hiyo haikubaliki kokote kule duniani....Na huyo Mo kama ni kweli alimuona Cannavarro katika mazingira tatanishi ni lazima ahojiwe na vyombo husika akiwepo huyo Cannavaro wake...hakuna kumung'unya maneno hapa...
 
Hata mimi napata taabu kidogo hapa...Najua kuwa hakuuza mechi ila kwanini alikwenda kwa Mo? (kama ni kweli) wakati anajua timu hizi mbili pinzani (Simba na Yanga) zilikuwa zinajiandaa kwa mchezo muhimu??? Anaweza kuwa hakuuza mechi ila huenda katika mazungumzo na MO alitoa taarifa muhimu bila yeye kugundua kuwa ametoa taarifa muhimu.
Jamani, mimi nilivyoelewa hizo taarfa, ni kwamba Canavaro alienda kwa Mo hapa juzi kati, mechi hiyo ya Simba na Yanga ilikuwa imeshapita siku nyingi. Lakini Zahera akakumbushia kwamba amekuwa akimfuatilia Canavaro, ikiwa pamoja na kuwaruhusu wachezaji watatu wa Yanga kutoka nje ya Hoteli usiku wakati wakijiandaa na mechi ya Simba. Kwa hiyo si kweli kwamba Canavaro alienda kwa Mo kipindi kile cha maandalizi
 
Anyway. nayaheshimu mawazo yako..hata mimi naamini kuwa Cannavaro yule ninayemfahamu hawezi kuuza mechi...Ila hoja yangu siyo ya kuuza mechi...Hoja yangu ni kama kweli alikwenda kwa Mo siku chache kabla ya mechi ya Simba na Yanga na bila kuufahamisha uongozi wake...Kama ni kweli alimuona huyo anayeitwa Mo na bila kuwafahamisha viongozi wake kitendo hicho ni unprofessional...Kama ni kweli alikwenda kumuona Mo bila kuwaarifu wenzake ndani ya uongozi ni lazima awaombe radhi wanayanga na viongozi wenzake...Hiyo haikubaliki kokote kule duniani....Na huyo Mo kama ni kweli alimuona Cannavarro katika mazingira tatanishi ni lazima ahojiwe na vyombo husika akiwepo huyo Cannavaro wake...hakuna kumung'unya maneno hapa...
Katika hili nakubaliana na wewe....ingawa kuna mdau anasema wameonana baada ya mechi..sasa sijui kipi ni kipi ila kuna tatizo mahali fulani...ufumbuzi ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya soka hapa nchini
 
Yanga akifungwa na simba lazima atafutwe mchawi.
Kwa jinsi ninavyomjua Nadir Haroub hawezi fanya hicho kitu kamwe kuihujumu yanga.

Je hamkumbuki kuwa Msuva alitaka kipigwa kisa mechi ya simba tu?

Zahera atapata anachokitaka ngojeni muone tu.
 
Jamani, mimi nilivyoelewa hizo taarfa, ni kwamba Canavaro alienda kwa Mo hapa juzi kati, mechi hiyo ya Simba na Yanga ilikuwa imeshapita siku nyingi. Lakini Zahera akakumbushia kwamba amekuwa akimfuatilia Canavaro, ikiwa pamoja na kuwaruhusu wachezaji watatu wa Yanga kutoka nje ya Hoteli usiku wakati wakijiandaa na mechi ya Simba. Kwa hiyo si kweli kwamba Canavaro alienda kwa Mo kipindi kile cha maandalizi

ok ok ok kumbe ni hivyo??? Hapana shaka kama uko sahihi kumekuwepo na upotoshaji mkubwa katika suala hili...lakini pamoja na hayo..Cannavarro ni lazima afahamu majukumu yake...Je, Kwa hadidu za rejea za majukumu yake je, anaweza kuwaruhusu wachezaji bila kumpa taarifa kwanza kocha mkuu???
 
Katika hili nakubaliana na wewe....ingawa kuna mdau anasema wameonana baada ya mechi..sasa sijui kipi ni kipi ila kuna tatizo mahali fulani...ufumbuzi ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya soka hapa nchini
1082540
 
Attachments

  • 1556374193360.png
    1556374193360.png
    28.3 KB · Views: 12
Katika hili nakubaliana na wewe....ingawa kuna mdau anasema wameonana baada ya mechi..sasa sijui kipi ni kipi ila kuna tatizo mahali fulani...ufumbuzi ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya soka hapa nchini

Uko sahihi comrade...There is a problem somewhere...Mimi namfahamu Cannavarro..siwezi kuingia kiundani zaidi kwa hili...Ni miongoni mwa wachezaji makini ambao nimewahi kuwaona Tanzania...he is a humble guy... mcha Mungu na makini kwa majukumu yake...Ninavyomfahamu Cannavaro hawezi kuuza mechi...Kuna tatizo mahali...Cannavaro ninayemfahamu mimi ni mcha Mungu..ni mtu wa swala tano..ni mtiifu, a gentleman na makini ....ila Kama alimuona huyo anayeitwa Mo bila kuwaarifu viongozi wenzake ni kosa...Ila kutokana na mazingira ya soka ya Tanzania iliyojikita kwenye majungu wenye wivu kwa nafasi yake ndani ya klabu hii kubwa wamepata sababu...
 
Back
Top Bottom