kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi
Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili
Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii?
TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia Watanzania wengi, pia hili shirika linaongozwa kwa kodi za Watanzania
Hivi inaingia akilini makampuni yote ya kibinafsi wanakimbilia kwenye mb 600 na ttcl nao bila kufikiria madhara na anguko la shirika lao na ndo kwanza wameanza eti nao wamerukia huko huko kwa MB 600?
Huu ni uhujumu wa maksudi wallah, hili shirika limefufuliwa kwa gharama kubwa sana, eti makampuni mengine kama Voda, Tigo, na Halotel wamepunguza sasa mabando ni mb 600 badala ya GB 1.5 na ttcl nao wamefata mkumbo wakati wanafahamu kabisa hili linaua shirika lao
TTCL sahivi walitakiwa wabakie na vifurushi vyao nafuu ili watu wakimbilie huku ttcl ili shirika litengeneze faida, lakini menejiment ya TTCL na afisa masoko kwa maksudi wanafanya hivi kwa favour ya makampuni mengine ili shirika life!
Kwani wanawalipa shilingi ngapi ili mulihujumu shirika la umma
Ni aibu kuendelea kukumbatia uongozi wa kijinga,na wa.ovyo na menijiment mbovu kama hii ya ttcl
Naomba kwa dhati kabisa afisa masoko wa ttcl afukuzwe kazi, na uongozi wa ttcl uvunjwe na wafunguliwe kesi ya kulihujumu taifa na hili halikubaliki kamwe