Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

Nani wa kumfunga paka kengele?!
Raisi mwizi,Makamu Mwizi,PM mwizi,Waziri mwizi,Mbunge mwizi,mkurugenzi mwizi,polisi mwizi,Takukuru mwizi,DC,RC Wezi,wakurugenzi ndio kabisa majizi ya mchana!
Hivi ndivyo nchi inavyoliwa.
 
Unataka upewe terabite au? Ujui watu wakijaa mtandaoni mtsndao unakuwa mzito. Acha twende iv iv mpaka tukome wote
 
Nimenunua line yao ajabu wanavifurushi ghali kuliko voda na tigo (sio vyote)
Mfano mimi cha tigo cha 2000 napewa dk 150 na mb800 kwa wiki. Lakini hao wamefyeka dk na mb. Labda sijui ile bufee yao
 
Kuna namna hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…