Kwani me ndo nilimwambia usisome? Stori za kahawa huko huko na vikoba vyenuEndelea tu kufakamia ugali wa shikamoo,siku ukitoka usingizini utajua kua maisha ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani me ndo nilimwambia usisome? Stori za kahawa huko huko na vikoba vyenuEndelea tu kufakamia ugali wa shikamoo,siku ukitoka usingizini utajua kua maisha ni nini.
Hakutaka jikosha no kusema hadaiwi ,, USA anadaiwa nn na China😁 toeni upuuzi hukuUSA anadaiwa na china
Anadaiwa russia Saudis
Elon musk anadaiwa bank of America huko bank za kina Barclay's nk
Mo anadaiwa mpaka mwenyewe alikir
Mkuu hako katoto tukaache tu kaendelee kufuga ujinga,hakataki kueleweshwa,USA anadaiwa na china
Anadaiwa russia Saudis
Elon musk anadaiwa bank of America huko bank za kina Barclay's nk
Mo anadaiwa mpaka mwenyewe alikir
😂😂 mkuu kwa mtu kama konde kutoka wcb na kuweza kusimama alivyo leo haiwezinkuwa rahis na sidhan kama kuna mtu mwingine mwenye guts hiz pale kwahiyo kuwa na maden haikua option lakin the god thing is jamaa anapambana ku resolve one after the other at the same time burudan mnapewa .Sasa yeye kila siku ni madeni tu?
kwa kukusaidia tu, hata bakhresa na utajiri wake wote, hotel verde iliyopo znz ambayo anaimiliki, sehemu ya fedha ya ujenzi wa hotel hiyo, alikopa kutoka axim bank.
Bakhresa Brand ikiwa na deni Bakhresa mtu hayamuhusu, mbona utajiri wa Bakhresa Brand unahuusisha na utajiri wa Bakhresa personal.Bakhresa ni brand name. Bakhresa ni company. Kwa kampuni kuchukua credits with interest is a part of business. Yaani biashara ndio zinafanyika hivyo. Sasa usije hapa ukasema Bakhresa ana madeni
Kasome financial statements za makampuni yao bablai,hivi hujui ukifanya investment bila source ya pesa inayoeleweka unaweza enda jela for money loundering?I'm free of credits na sina tatizo. Na hii kusema matajiri kina Mo Dewji wana madeni ni story za vijiweni.
Kasome financial statements za makampuni yao bablai,hivi hujui ukifanya investment bila source ya pesa inayoeleweka unaweza enda jela for money loundering?
Hakuna tajiri anayetaka kufanya uwekezaji alafu akatumia pesa zake kuwekeza, hayupo na hayupo milele.Endelea kuamini unachokiamini But tambua kua matajiri wengi hua wanapo invest hua wana invest kwa hela ya mkopo, ni matajiri wachache sana wanaoweka hela zao direct.
Mimi sifuti kauli yangu ya kusema matajiri hawana madeni. Sasa udaiwe kivipi wakati una pesa nyingi? Lakini wadau wa humu wanatoa mifano ya kampuni zao zinavyofanya biashara na benki wanasema wana madeni. Wanasahau kwamba makampuni yao yana shereholders na kwamba credits wanazofanya sio personal.
www.google.com