Meneja Sallam: Off to Mombasa, Kiba inabidi ufanye kitu safari hii

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Wadau wa muziki wa Bongofleva,

Nadhani wote mnaelewa kuhusu ushindani unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini..

Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja wa gwiji wa huu muziki Diamond platnumz ameandika kwamba anaelekea Mombasa ambako gwiji Alikiba atapafomu akiwa pamoja na Chris brown kutoka America na Wizkid, na kwa maoni ya watu wengi wanasema kwamba Sallam anaenda kumnasa Chris brown ili afanye kolabo na Chibu kama kipindi kile kwa Neyo..

Nikiwa kama mpenzi bongofleva naomba kingkiba afanye kitu kuhusu kolabo na CB na asichezee bahati..
 
Kiba ni level ya rayvanny sio mondi bin laden
Ray anakipaji haswaa maana ukisikiliza salome unaona kabisa mondi kafunikwa na katembelea nyota ya ray.Na hapo ndio nilipoona mondi si chochote maana ni kama mt.kilimanjaro(ray) na kichuguu(mondi) na kama ni wewe ni shabiki yake mshauri asirudie tena kumshirikisha ray maana atafunikwa tena
 
HUYU RAYMOND NI NYOKO ZAIDI YA MONDI NINA WASIWASI HUENDA HATA IDEA YA SALOME IMETOKANA NA RAYVANN MAANA KAKIMBIZA BARAHA MWANZO MWISHO
 
sichangai kumuona Kiba akifanya show stage moja na Chris Brown.
wote hawa wote WaPo Chini ya SONY MUSIC ENTERTAINMENT.
 
Shoga lakichaga ujui ata unaongea nn
 
sichangai kumuona Kiba akifanya show stage moja na Chris Brown.
wote hawa wote WaPo Chini ya SONY MUSIC ENTERTAINMENT.

Sawa endelea kutokushangaa, kwan wizkid naye yupo chini ya Sony? Wameangalia uwezo wa kuperfom live, sasa mondy yeye hivyo vitu hawezi ndiomana kaamua akaungane na mchovu mwenzie Neyo huko kwenye vishow vya birthday club ulaya
 
acha kuzubaaa ww hujuh wizkid kasign kuwa chin ya Sony juz apo
 
You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
 
Kingkiba sio msanii wala mwanamziki, Alikiba ni Alikiba, yaani kuna wasanii, wanamziki na kuna Alikiba, huyu jamaa ni noma hafanananishwi
We jamaa una kelele aisee.
Kingkiba sio msanii wala mwanamziki, Alikiba ni Alikiba, yaani kuna wasanii, wanamziki na kuna Alikiba, huyu jamaa ni noma hafanananishwi
"king" wa kwanza duniani ku sleep kwa maza.
 
Show sold out. Ticket zote zimeuzwa tayari. Waliowahi Ticket wanauza bei mruko tiketi ya Ksh 5000 inauzwa kwa ksh 20000.
Don't you know?
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…