Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
- Thread starter
- #41
Duh!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui mziki,hujui biashara,upoupo tu kama funza!...yule dogo anaanza kumwacha kiba kwa speed ya ajabu,time will tell.Jamaa Nina wasiwasi na cerebellum yako
Kiba hata aache leo music ametengeneza jina ambalo halitasahaulika kirahisi kama unavyochukulia ameitoa bongoflava mbali sana so heshima yake ipo palepale huwez kulinganisha na na hao cockroachesHujui mziki,hujui biashara,upoupo tu kama funza!...yule dogo anaanza kumwacha kiba kwa speed ya ajabu,time will tell.
Sasa hiyo show mbona CB kafanya playbackSawa endelea kutokushangaa, kwan wizkid naye yupo chini ya Sony? Wameangalia uwezo wa kuperfom live, sasa mondy yeye hivyo vitu hawezi ndiomana kaamua akaungane na mchovu mwenzie Neyo huko kwenye vishow vya birthday club ulaya
Thanks sikuwahi kuwaza kama ne yo ni New York.Hivi kumbe mondi ashafanya collaboration na New York (NeYo)
Kumbe ndio maana Mic ilizima, watu wana fitna sana aiseeWadau wa muziki wa Bongofleva,
Nadhani wote mnaelewa kuhusu ushindani unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini..
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja wa gwiji wa huu muziki Diamond platnumz ameandika kwamba anaelekea Mombasa ambako gwiji Alikiba atapafomu akiwa pamoja na Chris brown kutoka America na Wizkid, na kwa maoni ya watu wengi wanasema kwamba Sallam anaenda kumnasa Chris brown ili afanye kolabo na Chibu kama kipindi kile kwa Neyo..
Nikiwa kama mpenzi bongofleva naomba kingkiba afanye kitu kuhusu kolabo na CB na asichezee bahati..