Meneja Sallam: Off to Mombasa, Kiba inabidi ufanye kitu safari hii

Chris Brown gasho tuu unampigaje mtoto mzuri kama Rhihana... Bongo angenyimwa visa
 
Hujui mziki,hujui biashara,upoupo tu kama funza!...yule dogo anaanza kumwacha kiba kwa speed ya ajabu,time will tell.
Kiba hata aache leo music ametengeneza jina ambalo halitasahaulika kirahisi kama unavyochukulia ameitoa bongoflava mbali sana so heshima yake ipo palepale huwez kulinganisha na na hao cockroaches
 
Naona team naniliu wamesha acha kumfananinsha mondi na kiba, sasa hivi story ni kafunikwa na rayvany, rayvany ni mkali kuliko mondi.. hahaha! yangu macho
 
Sawa endelea kutokushangaa, kwan wizkid naye yupo chini ya Sony? Wameangalia uwezo wa kuperfom live, sasa mondy yeye hivyo vitu hawezi ndiomana kaamua akaungane na mchovu mwenzie Neyo huko kwenye vishow vya birthday club ulaya
Sasa hiyo show mbona CB kafanya playback
 
Kumbe ndio maana Mic ilizima, watu wana fitna sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…