Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Kaka mbona unaroho mbaya Kama Shetani mwana wa ibirisi. Bila shaka ndo Yale yenye vyeti fake yaliyopigwa rungu la kichwa.
afadhali hayo ya vyeti feki make yalikuwa na nia ya kusaidia......ulaya yote imeendelea...
 
''...Meneja amesema mpaka sasa kwa wastani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za Shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki...''

Amenukuliwa kwa usahihi? Au namba aliyotoa ni sahihi?

Inawezekanaje ndege itue mara tatu kwa wiki halafu uwe na wastani wa abiria 250 kwa mwezi?

Au huo ni wastani wa wiki?

Maana kwa abiria 250 kwa mwezi hii ina maana kuwa:

1. Kwa wiki ni sawa na abiria 250/4 = 62.5 approx abiria 63

2. Kama kwa wiki kuna safari 3 za ndege kupeleka abiria 63 hii ina maana kuwa 63/3 = abiria 11 kwa safari moja ya ndege.

Meneja atafutwe ili athibitishe hizi namba
 
Hizi ndege siri wanaijua wenyewe. Juzi nimepanda dream liner ya kagame toka kigali to heathrow kuuubwa kama uwanja wa mpira. Nililala usiku mzima kama hotelini ni kufanya kuchagua pa kulala maana lilikuwa tupu .
 
Ratiba ya ndege mara ngapi kwa wiki?
Yaani ratiba ndege 3 Kwa wiki na Kwa mwezi unahudumia wateja 250. Kwanza ncheke..... Kila wiki anahudumia wastani wa wateja 63, hivyo Kila ndege Ina kuwa na wateja 21..... Mungu tuokoe Kwa yeyote aliyeturoga watanzania
 
Back
Top Bottom