Si ndio wanaosimamia hilo bwawa ndg? ALiyeongea hayo ni mtumishi wa TanescoNa tanesco nao wanasemaje?
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.
Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.
Na tanesco nao wanasemaje?
Tanesco wamesema Kuna mgawo wa umeme sababu ya kupungua maji.Si ndio wanaosimamia hilo bwawa ndg? ALiyeongea hayo ni mtumishi wa Tanesco
Tanesco wamesema Kuna mgawo wa umeme sababu ya kupungua maji.
Kuna tanesco ngapi hapa Tanzania!
Na tanesco nao wanasemaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habariwww.jamiiforums.com
Ndo ninachokwambia hapa, wanaosimamia uzalishaji wa umeme kwa mabwawa ni Tanesco. Wanaotangaza mgao ni wanasiasa wenye maslahi na uzalishaji kwa njia ya gesi.Tanesco wamesema Kuna mgawo wa umeme sababu ya kupungua maji.
Kuna tanesco ngapi hapa Tanzania!
""NAANZA KUPATA MASHAKA NA JANUARY MAKAMBA""Tukisema yule kijana ni mpigadili mnakaza ubongo