Utajiri wa kuongeza sifuri au wa kusifia team domo????Si nasikia diamond anautajiri wa b4!?amkopesha boss wake hizo hela yaishe tu!!
kama ni kweli wacha hata waambiwe billionShekhe yule aliwatafuta kwa upole wakawa wanamtukana na kumkejeli aende popote sasa ni wakati wao kuvuna walichopanda
Afu alikua anadai hela ndogo tu na nyumba wangempa nyumba na hela hata nusu vingeisha.tatizo walikua wanamjibu hovyo na bwan shehe akapata mabush lawyer ona walipofika sasakama ni kweli wacha hata waambiwe billion
Domo alishatabiri ktk utanipendaApo ndo mda wa Diamond kuzima simu sasa
Milioni Nne au arobaini?Lazima wakamgombanie jela.. Na alivyo soft soft
Na si Kwa chidi benz si ametumia sio chini ya milioni 40!! Angetumia hizo kupunguza deni
Milioni Nne au arobaini?
Moja kati ya watu anaowaheshimu rapa Chidi Benz, ni Babutale, kwasababu meneja huyo wa Diamond ametumia fedha nyingi hadi sasa kwaajili yake.
“Huwezi amini mpaka sasa hivi ninavyoestimate kwamba Tale anaweza akawa ametumia kama milioni 45, 50, 60. Sio kuwekeza, vitu ambavyo vimefanyika tayari, lakini sijasaini wala nini,” alisema Chidi kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM.