Sasa sheikh inakuwaje anashirikiana na wanamuziki tena. Ishu sio kuuza CDs za mawaidha hapo ila kujichumia pesa zinazoambatana na mizikimziziki. Mradi gani Hui. Tena unamshitaki ili akulipe maburungutu ya pesa eti kwakuwa anazo na unazungumza unadai eti in hakimiliki. Maneno ya Allah hayana Haki miliki bhana. Bali uwe muungwana sheikh ununue licence uwe na kampuni yako uache madili na kazi za mungu.