brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ni kweli mkuu hasa Ruge jamaa mim namkubali sana hana uswahili wala roho ya kwanini, angalia watangazaji wake karibia wote wana vitenga uchumi nje ya ofisi!!Ikumbukwe jamaa ni rafiki mkubwa wa kusaga ukitembea na wenye akili lazima utajirike hata kifikra tu.
Teh teh teh ila ujapata promoRedio ya mtandaoni hata mi nnayo
Nifungulie thread basi nipate kikiTeh teh teh ila ujapata promo
Ni kweli mkuu hasa Ruge jamaa mim namkubali sana hana uswahili wala roho ya kwanini, angalia watangazaji wake karibia wote wana vitenga uchumi nje ya ofisi!!
HATUSHINDWIHuu msemo wao kweli wanamaanisha