Meneja wa Diamond kufungua kituo cha redio

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Meneja Sallam anatarajia kufungua redio yake ya mtandaoni (online radio) itakayoitwa DSM Fm na Rommy Jones atakuwa ni miongoni mwa watangazaji katika redio hiyo

1473251672146.png
 
Ikumbukwe jamaa ni rafiki mkubwa wa kusaga ukitembea na wenye akili lazima utajirike hata kifikra tu.
 
Ni kweli mkuu hasa Ruge jamaa mim namkubali sana hana uswahili wala roho ya kwanini, angalia watangazaji wake karibia wote wana vitenga uchumi nje ya ofisi!!

HATUSHINDWIHuu msemo wao kweli wanamaanisha
 
SHILAWADU.

Back
Top Bottom