Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

Ajibu kisomi kwani yeye msomi? babu tale ni mjanja mjanja tu hapa mjini hana weledi huo unaoutaka wewe
 
Kama wanagawa bure kampuni in a survive VP?
Acha kudanganya watu kijinga bana
 
Atulie tuu kama vip
 
Kama wanagawa bure kampuni in a survive VP?
Acha kudanganya watu kijinga bana


Man, Ulimwengu tunaoishi hivi sasa huwezi kudanganya watu kijinga kama unavyofikiria wewe. Kampuni kupata faida hilo ni swala simple sana kulifahamu, lakini hapa tunaongelea jinsi gani internet imeathiri biashara ya makaratasi. Jamaa kasema ni Bongo tu, lakini mbele watu bado wananunua magazeti, mimi nabisha, wanaonunua magazeti kwasasa ni wachache sana na sababu nimezitoa hapo juu. Sana sana gazeti utalikuta mgahawani unapokwenda kunywa kahawa asubuhi na mara nyingi linakuwa la michezo. Kwenye internet kuna kila kitu kaka.
 
Enlight me wanapataje faida
Ilhali biashara ya magazeti mbele ni moja ya biashara yeye faida kubwa na mabilionea??
Wala usikimbie swali si umesema wanagawa magazeti
 
wakome hawa si ndo wale waliokua wanatoa remix ya ccm mbele kwa mbele na kukata miuno jukwaani ili kuvutia watu wajae viwanjani na wakome wamenyeke mpaka basi
 
Enlight me wanapataje faida
Ilhali biashara ya magazeti mbele ni moja ya biashara yeye faida kubwa na mabilionea??
Wala usikimbie swali si umesema wanagawa magazeti


Umesema acha kudanganya watu kijinga, nimeshtuka kidogo kwasababu hapa ni JF na huu ni mwaka 2017 unawezaje kufikiria hivyo. Okay, bado kuna magazeti na majarida ambayo bado yanauzwa lakini wateja wake naweza kuthubutu kusema ni wachache sana tena watu wazima tu. Kama unabisha magazeti kugawiwa bure, basi unabisha vitu usivyovua na umezoea kubisha tu. Haya magazeti yanatengeneza faida kubwa kwa matangazo. Labda nikufunue kidogo kama mvivu wa kufikiri, kama kila copy ikiuzwa €1 ni watu wachache watanunua na haya matangazo watasoma watu wachache sana. Lakini kuna vijana wanasimama treni station asubuhi, wanampa copy ya bure kila mtu anaepita karibu yao. Fikiria watu wangapi watasoma? Mimi hapa nyumbani kwangu kwa wiki naletewa free copy magazeti ya aina 3, pamoja na habari lakini mara nyingi huwa napitia matangazo.
 
Shigongo ana roho mbaya sana Mzee huyu halafu anajitia mkristu...


Mbona yeye alikataa kumpunguzia ndugu yangu bei ya kuweka banda la chips kwenye zile frem zake pale roby one , Africa sana.

Alimbania jamaa yetu akimwambia awe analipia eneo kwa siku 25,000 , ila same area kaweka ndugu zake wasukuma tena wengine hata hela hawalipi...


Huyu jamaa ni mnafiki sana... Asidhani hatumjui sema hatuna platform ya kumsema kama yeye anavyotumia hivyo vo jarida vyake kusema watu hovyo
 
Watanzania wana maneno!
 
Baadaye Journalism itakuwa si profession?
Kama kila mtu atatoa habari yake mwenyewe?
 
Mameneja wa kibongo bwana...kazi ipo!
Unless kuna lingine?
Meseji ya Shigongo ilikuwa ushauri, ila maamuzi ni juu ya anayeambiwa.

Shigongo ni businessman, entrepreneur kitambo anajua haya mambo, ila kama jamaa wanaona amefilisika sawa, wacha tuendelee!
 
Kwasasa imekula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…