Meneja wa Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata Mchambuzi Jemedari Said Unafiki Kwake mwiko japo ni mwana Yanga SC lia lia

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana.....

Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
 
Hata Simba

Hata Simba kumbuka ilipita zaidi ya miaka minne bila kikombe chochote, hivyo Julia kupokezana
 
Tulikosa ligi kuu miaka 4 but wa nne tulibeba FA. So ni miaka minne bila ligi kuu but mitatu bila kombe la maana.
Hatufanani
 
Back
Top Bottom