Meneja Wa Msanii Davido Afariki Dunia

Meneja Wa Msanii Davido Afariki Dunia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua..

Apumzike kwa Amani Mjuba OBAMa p
Screenshot_20210630-195020.jpg
 
fatilia social media za huko naija kuhusu vifo vya watu w akaribu wa davido.....makafara ni kitu kibaya sana,mafanikio ya wengi ni mauzauza sana ni wachache mnooo wali o make it bila mauzauza
Nini tatizo au Yale masuala ya kinigeria. Halafu huyo jamaa alikuwa vizuri hata kabla hajaanza kufanya kazi na davido. Ni davido mwenyewe alimfuata. Ana Lebo yake kubwa tuu.. OBAMA Music.

Mwili umeachana na roho ghafla baada ya kupata matatizo ya kupumua.
 
Davido afanye makafara ili apate nini, kazaliwa kwenye familia ya kitajiri, baba yake mzazi ana utajiri zaidi ya USD 700mil hata hasipofanya mziki hela anayo. Hayo mawazo yenu na roho mbaya za kimasikini.
 
Kuna mijitu vichwani mwao wanawaza uchawi tu ukafara na ufree mason!

Hawawazi hata siku moja mtu unaweza tumia akili ukafanikiwa?

Chochote mtu atakachofanya akafanikiwa they always think katumia uchawi, kafara au freemason,

Pumbavu kabisa
 
Nini tatizo au Yale masuala ya kinigeria. Halafu huyo jamaa alikuwa vizuri hata kabla hajaanza kufanya kazi na davido. Ni davido mwenyewe alimfuata. Ana Lebo yake kubwa tuu.. OBAMA Music.

Mwili umeachana na roho ghafla baada ya kupata matatizo ya kupumua.
Mkuu kwani wewe hakuna watu wako wa karibu wanaokufa? dying is a necessary end.
 
Back
Top Bottom