Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mkuu kwani wewe hakuna watu wako wa karibu wanaokufa? dying is a necessary end.
Tena kuna wakati kwenye familia wanafululiza watu kufa mpaka unawaza who is next[emoji29]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwani wewe hakuna watu wako wa karibu wanaokufa? dying is a necessary end.
Kabisa Mkuu, unakuta watu wanafuatana mpaka kweli mnaanza kuogopa kila mtu anajiuliza au yeye ndiye anayefuata.Tena kuna wakati kwenye familia wanafululiza watu kufa mpaka unawaza who is next[emoji29]