Meneja wa Simba SC afungiwa mwaka mmoja kwa kuihujumu Taifa Stars

Mi nimejitoa kwenye hilo kundi, uzuri wewe ndiyye unaye liongoza
mjinga huwa hajijuagi,mimi ni mjinga kweli kwasababu kuna vitu sivijui na ndio ujinga wenyewe.kutokujijua na kujiellewa ni ujinga mkubwa kuliko ujinga wenyewe.
 
Ni ujinga tu. Na hapo utajiuliza kile kikao cha Simba na TFF kilikuwa na maana gani? Si walisema wameyamaliza?
...ndo wamemalizia kwa meneja, bila kikao wangejuaje aliyechangia huo ujinga ?
 
mjinga huwa hajijuagi,mimi ni mjinga kweli kwasababu kuna vitu sivijui na ndio ujinga wenyewe.kutokujijua na kujiellewa ni ujinga mkubwa kuliko ujinga wenyewe.
Aiseeeh...wewe mjinga sanaa ! Maana mpaka unajichanganya, mara unajijua mara hujijui....basi ujinga ujinga tuu !
 
Adhabu imeshatoka wadau hoja mnazojibizana hazimnasui meneja kukaa mwaka mmoja nje ya soka
 
Huyu alitakiwa afungiwe maisha kwasababu alilihujumu Taifa
 
Ni ujinga tu. Na hapo utajiuliza kile kikao cha Simba na TFF kilikuwa na maana gani? Si walisema wameyamaliza?
Ndio wameyamaliza kwa kujua aliyezingua ni huyo meneja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…