aliyeshiba huyo hamjui mwenye njaa, ungetuma na picha ya tukio na picha yakeWatu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Fuateni kanuni, taratibu, miongozo, maagizo na sheria. Mkileta ujuaji, ubishi na umwinyi wenu mtalia na kuloga watu kila siku.Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Hivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.aliyeshiba huyo hamjui mwenye njaa, ungetuma na picha ya tukio na picha yake
Kwa nini upande mahindi barabarani,raia wapite wapi?, hopeless,Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Wanashindwa kwenda kulima Puge,Ntalikwa,Mibono na Ndewelwa wameng'ang'ania kulima mjini.Haiwezrkani.Wajifunze na waishi kwa kutii mamlaka.Kwa nini upande mahindi barabarani,raia wapite wapi?, hopeless,
Kwanza kabisa pooole mno kwayaliokupataMeneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akiliMeneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Tena akute amelima tumbaku.Kwanza kabisa pooole mno kwayaliokupata
Ila nivile tuu mnaamua kukaza fuvu
Ww kwa unavoona ni sawa eneo la kujenga nyumba yako ukakuta kuna mtu kalima tena bila taarifa?
Utafanya nn na huyo mtu humfaamu?
JIBU BAKI NALO MKUU
Uko sahihi kabisa ila wangewakataza tangu wanalima na kuandaa masha,ba, namkumbuka Mzee Kikwete aliwahi kuwahoji akina Magufuli (akiwa Waziri wa ujenzi), kuwa mnawaona watu wanajenga, mmekaa kimya, wanahamia, mmekaa kimya, then ghafla mnakuja kuwabomolea. Nadhani hapa kulikua na uzembe wa kutosimamia sheria.Hivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.
hahahahaaaTena akute amelima tumbaku.
Yaan tena wanabahati huku mbeya kuna eneo lipo maeneo ya iwambi walishakataza nakutoa tamko kwamba kwa saivi kilimo kisizidi urefu wa maharage kwa ilikuepusha matendo ya kiharifu hususani ubakaji na ukabaji watu asa kuna watu wanajitia undunaTena akute amelima tumbaku.
Kulima mjini/maeneo wanayoishi watu kuna hasara zaidi kuliko faida ya kupata mahindi ya kuchoma.Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akili
Kwani aliyelima alilima ili mahindi yakatwe kabla hayajakomaa??Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.
Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Mkuu,wananchi sisi ni wajanjawajanja mnoo.Huwa tunalima kiujanjaujanja kama tunapalia nyasi(wanyamwezi wanaita kukela).Kumbe ndiyo kilimo chenyewe.Utakuta tumeshapanda mahindi,mtama,karanga,maharage,kunde nk.Uko sahihi kabisa ila wangewakataza tangu wanalima na kuandaa masha,ba, namkumbuka Mzee Kikwete aliwahi kuwahoji akina Magufuli (akiwa Waziri wa ujenzi), kuwa mnawaona watu wanajenga, mmekaa kimya, wanahamia, mmekaa kimya, then ghafla mnakuja kuwabomolea. Nadhani hapa kulikua na uzembe wa kutosimamia sheria.
Asante sana kwa matusi. Uzuri wa JF mtu anaweza kuandika cho chote kwa sababu anayemlenga hamjui. Naambatanisha presentation "MAFUNZO MAALUM JUU YA MATUMIZI SAHIHIYA HIFADHI YA BARABARA...".Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akili
Mbona wengine hawafuati sheria na hakuna wanachofanyiwa?sheria za nchi hii zinawabana maskini tu ambao hawana uwezo.akina Gekul wamefanywa nini zaidi ya kufutiwa makosa lkn angekuwa Mlala hoi mpaka leo angekuwa ndani kolokoloniHivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.
Siyo barabarani na wewe tumia ubongo ni kandokando ya barabara.Kwa nini upande mahindi barabarani,raia wapite wapi?, hopeless,
Pole mkuu. We wakatu unapanda mahindi hukujua kama umevamia eneo la watu?Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.
Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?
Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.