Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji awajibishwe

Well said kamanda
 
mpaka akashindwa hata kutumia busara
Amefuata SHERIA na sisi Wananchi tujifunze kufuata SHERIA.

Mhandisi Raphael Mlimaji anastahili Pongezi nyingi nashauri apandishwe cheo halafu ahamishwe kabla ya hajalogwa na Wanyamwezi.
 
Kwahiyo staff wa tanroads wawe wanashinda pembezoni mwa barabara kuona nani anapanda mahindi. Ili yasije kuwa marefu bure.

Maana wakikata yakiwa marefu Watakwaza wanyonge wasiojua mashamba yako wapi.
 
Mbona wengine hawafuati sheria na hakuna wanachofanyiwa?sheria za nchi hii zinawabana maskini tu ambao hawana uwezo.akina Gekul wamefanywa nini zaidi ya kufutiwa makosa lkn angekuwa Mlala hoi mpaka leo angekuwa ndani kolokoloni
Kuna neno "mbona" na "angekuwa" ninayafanyia kazi.
 
Huongeza mmomonyoko wa udongo
 
Adhabu ya kosa huwa haijali faida au hasara kwako, ikitolewa adhabu ya kuukata mkono wako utakatwa, ikitolewa adhabu ya kufungwa utafungwa tu bila kujali nani atawatunza watoto wako.
 
Yaani anafyeka chakula?
 
Hivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.
Huwa kuna katazo kufanya shughuri za kilimo,biashara.ujenzi.Nk
jambo la kushangaza ni pale wahusika kuruhusu kazi hizo kufanyika wakati wapo na wanatakiwa kufanya ukaguzi Mara kwa Mara
Pamoja na kushindwa kubaini hilo, ingetumika busara kusubiri wavune kwa kuwa mahindi siyo zao la kudumu
 
Wewe hiyo sio kazi yake kuanza kuhoji wakati wanajuwa hili ni eneo la hifadhi ya Barbara safi iwe funzo Kwa wrngine
 
Kwahiyo staff wa tanroads wawe wanashinda pembezoni mwa barabara kuona nani anapanda mahindi. Ili yasije kuwa marefu bure.

Maana wakikata yakiwa marefu Watakwaza wanyonge wasiojua mashamba yako wapi.
Mm bado sielewi hii akili ya wabongo kwani wakipanda [emoji535] kandokando ya barabara yanaharibu nini?
 
Angalia mambo ya hao watu TANROAD ukiyagusia sana huchelewi kupigwa ban watch out
 
Asante sana kwa matusi. Uzuri wa JF mtu anaweza kuandika cho chote kwa sababu anayemlenga hamjui. Naambatanisha presentation "MAFUNZO MAALUM JUU YA MATUMIZI SAHIHIYA HIFADHI YA BARABARA...".
Mambo ya hao jamaa wa TANROAD kua makini usiyagusie sana utachezea ban mkuu watch out usiseme sikukwambia
 
Injinia Raphael Mlimaji πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š chukua tano kwa kazi nzuri.

Hii Nchi watu hawafuati Sheria unakuta akina so called "Machinga" wanauza bidhaa zao Barabarani maeneo yetu yaliyowekwa kwa ajili yetu sisi wapitanjia.

Ni wakati sasa tuwe tunaandaa TUZO kwa watu kama huyu Mhandisi.
 
Mambo ya hao jamaa wa TANROAD kua makini usiyagusie sana utachezea ban mkuu watch out usiseme sikukwambia
Naamini tunaweza kuelimishana/kukosoana humu kwenye JF bila matusi. Unataka kuniaminisha kuwa wale wenye uwezo wa kuwa"ban" wenzao wanaweza kuandika cho chote pamoja na kuwatukana wenzao? Je "credibility" ya JF haitakuwa "jeopardized" tukiendekeza hivyo. Mimi binafsi naiheshimu sana JF na ndiyo maana nilijiunga. Nakushukuru sana kwa "warning".
 
Nimesemaje hao jamaa unawazungumzia wazungumzie kwa tahadhari usije ukachezea ban mkuu uwe unaelewa sijasema kuhusu wanaotoa ban nimesema kuhusu unaowazungumzia wana power ya kuweza kucommand wewe upigwe ban na ukapigwa ban copy that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…