Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero aondolewa

Itakuwa mkandarasi ni Kada wa Chama all in all Meneja kazingua kazi za zege hufanyi bila kuwepo msimamizi (Consultant) au wametupa mpira anamwaga zege vipi bila msimamizi mpaka daraja linaisha.?
 
Itakuwa mkandarasi ni Kada wa Chama all in all Meneja kazingua kazi za zege hufanyi bila kuwepo msimamizi (Consultant) au wametupa mpira anamwaga zege vipi bila msimamizi mpaka daraja linaisha.?
Kuwa kada wa chama haijalishi ufanye Kazi mbovu,wakati chama ndicho kinachoisimamia Serikali.

Muhimu ni kuzingatia kanuni za Ujenzi na kufuata Sheria za kitaaluma na uanzishwaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi zilizoundwa kwa Mujibu Sheria na kupitishwa na Bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…