Meneja wa Uwanja wa Taifa atimuliwe haraka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haiwezekani Taa ziwe zinazima uwanjani mara kwa mara , hii ni dhahiri kishashindwa kuusimamia uwanja huo , kwanza ni aibu kwa Taifa .

Nakumbuka Meneja huyu aliletwa na Mchengerwa , hatujui hata kama ana vigezo vyovyote vya kuwa meneja hata wa Bar ya Kisuma Mbagala .

Mnatuletea Mameneja wa koneksheni mwisho wa siku tunadhalilika

Poor you !
 
naunga mkono

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Raisi angeachia tuu ngazi maana hawa ndio mawakala ama wasaidizi wake...

Taifa kuwa na viongozi wasiojielewa ni aibu kwa kiongozi aliowateuwa
 
hivi bado hajafukuzwa hadi muda huu ?
 
Hii Nchi makosa yaleyale daily kwa sababu kwenye mifumo viongozi ni walewale miaka nenda rudi hadi serikali kuu anaebadilka ni Rais tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…