Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
Media ni kitu kingene asee, ukiwa kazi zako unategemea media basi usithubutu kupambana nayo.AISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Hujaitwa hapaukweli kuhusu kitu gani?n fanya kazi wacha mambo yasiyo na tija
We dada mambo vp, mbona unanidatisha na makalio yako hivi? You are so beautiful queen of the man.....Eeh owww!
HAHAHAAA MNAOMBEAGAAAAAAAA AANGUKE NI BASI TU MNASHINDWA,KWAN NI MARA YA KWANZA HAYA MAMBO KUTOKEANajua sallam anajua diamond katengenezwa na hiyo media ata aseme ukweli kiasi gani clouds watabaki clouds najua sallam anategemea umaarufu wa diamond ajua anaweza yeye akawa anguko la diamond hii ni media ya pili kubwa wanakuwa na bifu nayo hiyo wasafi fm sijui wasafitv aiwezi kuwa mnazi mara moja tu ajue kuna siasa za biashara kuna media shindani azitakuwa upande wake media zote zitakuwa zinafanya siasa za biashara apo ndio anguko lao litakapokuja diamond anatakiwa ajue na timu yake kuna muda wa kukaa kimya na kufanya biashara ya muziki wake mafanikio uja na kiburi yanapofika mahali fulani kiburi cha mafanikio kikitumika vibaya kinaweza kusababisha anguko lako kwenye maisha usitegemee kuwa kwa kuwa fulani ana ukaribu na fulani itakuwa rais kwetu sisi kufika sehemu fulani sio kwenye biashara za ushindani dunia ya sasa kutegemea viongozi fulani
Mambo ya bashite wapi na wapi,inamaana jui kama clouds ni wanyonyaji miaka nenda rudiHawa akina Sallam and the Group wanajiona wao kuwa na Bashite ni kama vile ndio Mungu wao.
Cyo hz za bongo chief, bashite tuu kawafua wakanywea.hakuna aliyeokoka duniani
Media ni kitu kingene asee, ukiwa kazi zako unategemea media basi usithubutu kupambana nayo.
Usinipangie cha kuandika Ndugu.Mambo ya bashite wapi na wapi,inamaana jui kama clouds ni wanyonyaji miaka nenda rudi
Au unaona raha wakidhalilika watoto wadogo kama ruby KISA power ya clouds
wakina sallam wanakosea sana, wanashindwa kujua makonda ipo siku hatakuwa mkuu wa mkoa lakini clouds itaendelea kuwepo! ila haya mambo yalimshindaga pia sugu kipindi kile cha antivirus akiwa na vinega wake, nakumbuka kwenye show yao ya antovirus pale viwanja vya ustawi wa jamii alipta support hadi kutoka chademaHawa akina Sallam and the Group wanajiona wao kuwa na Bashite ni kama vile ndio Mungu wao.
ina weza endelea kuwepo na ikawa kama tbc fm... kila mtume na zama zake... kama efm imekuja kwa speed kali hivi... kuna mtu aliwahi fikiria kuwa kuna mshindani atakuja kutokea wa namna hii...? hacheni kukariri maisha.... kampuni huwa zina firisika pia hakuna kinacho weza kuishi milele...wakina sallam wanakosea sana, wanashindwa kujua makonda ipo siku hatakuwa mkuu wa mkoa lakini clouds itaendelea kuwepo! ila haya mambo yalimshindaga pia sugu kipindi kile cha antivirus akiwa na vinega wake, nakumbuka kwenye show yao ya antovirus pale viwanja vya ustawi wa jamii alipta support hadi kutoka chadema