ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Seems like this mawingu is imotal but fatal[emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kushindana na Media hata siku mojaAISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Umenena vyema mkuuina weza endelea kuwepo na ikawa kama tbc fm... kila mtume na zama zake... kama efm imekuja kwa speed kali hivi... kuna mtu aliwahi fikiria kuwa kuna mshindani atakuja kutokea wa namna hii...? hacheni kukariri maisha.... kampuni huwa zina firisika pia hakuna kinacho weza kuishi milele...
Halafu watoto wa mjini na vilevile wanapesa na fitina zote mjini wanazijua .AISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Utanifata PM unisimulie vizuri maana sielewi chochoteEeh owww!
Hahahha ...wabongo kwa ubuyu hatujamboView attachment 692180
watu wanasubiri
Clouds na Viongozi wa wasafi wote wanajuana Michezo yao....Tale na Fella wameibia sana wasanii.Vyovyote vile, ila anayetetea clouds kwa vitu kama walivyomfanyia ruby, mnashangaza... Kwa kweli, hawa watu wanajiona miungu aisee... Ila fresh