Meneja wa WCB, Sallam SK atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

Seems like this mawingu is imotal but fatal[emoji124][emoji124][emoji124]
 
clouds bado hawajaacha tabia zao za umaku
 
Vyovyote vile, ila anayetetea clouds kwa vitu kama walivyomfanyia ruby, mnashangaza... Kwa kweli, hawa watu wanajiona miungu aisee... Ila fresh
 
Ukiona kila mtu anakulalamikia ujue unatatizo.. hao clouds wajiangalie kwanini kila siku ni wao tu ndio wanagombana na wasani
 
Umenena vyema mkuu
 
AISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Halafu watoto wa mjini na vilevile wanapesa na fitina zote mjini wanazijua .
 
Safi kabisa.

Huu ni muda wa Fella na Tale kulipwa dhambi zao....Kwa unyonyaji,uhuni,uonevu na upuuzi waliowafanyia wasanii miaka na miaka sasa ndio muda wa kula kwao
 
Vyovyote vile, ila anayetetea clouds kwa vitu kama walivyomfanyia ruby, mnashangaza... Kwa kweli, hawa watu wanajiona miungu aisee... Ila fresh
Clouds na Viongozi wa wasafi wote wanajuana Michezo yao....Tale na Fella wameibia sana wasanii.

Wanamnyima raha Aslay kwa kumletea fitina asisikike...Wale sio wa kuonewa huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…