Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkuu Mwanakijiji,
Wee Umeamua kugeuza tu kwa manufaa yako binafsi na mapenzi yako binafsi kwa Mengi au?
Kwa Kumalizia Mengi vc Malima
Mengi vc Bagenda
[quote=mkereme;404601]Tatizo ni kwamba hawakutaka mtu mweusi amiliki himaya ya viwanda na MEDIA ya ukubwa wa IPP.
Hapa kijijini kuna watu wengi wanatoa hasira zao bila kutafakari.Kwa mtizamo wa watu wengi ambao upeo wao wa kuona sio mbali zaidi ya pua zao wanafanya mzaha na vita vya Kibiashara iliyopo kati ya Wahindi/Waarabu wanaofanya biashara na IPP inayomilikiwa kwa asilimia kubwa na familia ya Reginald Mengi . Kabla sijawapatia data nilizo nazo nawaagiza wote akiwepo MzeeMwanakijiji kuanzia leo mtembelee mahoteli yote yanayomilikiwa na akina Subash Patel,Ladwa na yote makubwa ambayo yako chini ya uongozi wa menejimenti za waasia kama mkikuta bidhaa za IPP group zinauzwa huko. Ni nadra sana na hii ipo hata kwenye migahawa mingi. Watakuambia hatuuzi Cocacola kwa sababu za kidini. Kwa vile fomula ya Coke ni ya kimarekani hata huko Uarabuni haziuzwi eti ni solidarity ya kupinga Mmarekani na nimeyaona kwa macho yangu nilipotembelea mashariki ya kati hivi karibuni. Tatizo ni kwamba hawakutaka mtu mweusi amiliki himaya ya viwanda na MEDIA ya ukubwa wa IPP. Serikali ya CCM hilo wanalijua lakini hawataki kulizungumza hadharani. Hasa awamu ya fisadi Mkapa hilo lilinguruma na yeye alitoa macho na kuona sawa. Kwa sababu CCM wamejaa MAFISADI kwa hiyo mpambano umekuwa mkali hata makakati wa kununua Habari Corporation ni moja ya njama za kummaliza Mengi. Kutokana na msimamo Imara alio nao dhidi ya mafisadi anaadhibiwa. Bahati mbaya hakuna kabila la Wachaga ni bahati iliyoje, Mungu aliangusha Mnara wa Babeli kwenye maporomoko ya Mlima kilimanjaro kwa hiyo tuna bahati wao wenyewe kwa weneyewe hawaelewani hata lugha! Inatakiwa ubaguzi huu wa kibiashara ukomeshwe vinginevyo sitashangaa watu kukataa kununua maji ya Uhai na mikate ya Azam kwa vile tu mmliki wake ni Mwislamu.Kuna huyu jamaa kasema anazima TV HUKO ni kujinyonga punguza hasira nadhani ukipewa baruti hukawii kujilipua! CCM huko mnakotupeleka sio kuzuri. WANAKIJIJI badala ya kuorodhersha idadi ya watu waliokwisha kuingia kwenye mgongano wa kimaslahi na IPP {sipendi kuzungumzia watu} tuliangalie hili kwa mapana yake tusiishie kumjadili mtu hapa.Kuna wazo limetolewa MENGI ashauriwe ajitolee kutoa muda hewani bure kuendesha mijadala ya wazi kwenye ITV na sisi tuchangie pamoja na kwezesha kila Kata iwe na UMEME/TV watu waweze kushiriki huo mjadala. Vinginevyo tutabakia na maoni yale yale ya watoto wa mjini tu. Tuache porojo na ushabiki usiokuwa na mwelekeo.
Mengi VS Manji,Mengi Vs Comedi,Mengi vs Mkapa,Mengi VS Masha,Mengi vs Mtikila,Vs RA? Gembe VS Mengi
Hahahaha! Mengi VS Gembe,your next my friend,the fact that you have asked this you must be on the payroll of 1 of Mengi's many real and IMAGINARY ENEMIES.I personally find him paranoid.
I once read an indian proverb which went 'a real winner does not take stress from others and complain but gives stress to others and let them complain'
Mheshimiwa Gembe jibu langu lilikuwa kwenye utani zaidi na wala sijapinga hoja yako na hata mimi hushangaa kuitwa masikini kula pilau Diamond halafu usiku analala viwanja vya Mnazi mmoja.
Mheshimiwa Gembe jibu langu lilikuwa kwenye utani zaidi na wala sijapinga hoja yako na hata mimi hushangaa kuitwa masikini kula pilau Diamond halafu usiku analala viwanja vya Mnazi mmoja.
Huwezi pambana na ufisadi 'when it suits you' nani asiyejuwa mchango wa mengi kuiuwa NBC na NIC enzi zilee na alivofanya juu chini majina yasichapishwe magazetini?
lagatage,
Tupo ukurasa mmoja mkuu!
Na mimi msiniache,
mpaka magazeti yalumuambia "DAWA YA DENI NI KULIPA" kizazi cha enzi za EPA hakiyajui haya, sijui alililipa madeni hayo? hili la PILAU LIMENIACHA HOI BIN TAABANI.
Mbona hujiulizi kwa nini kila sikukuu RAIS anatoa msaada wa kiroba cha mchele na mbuzi na baadae anawaacha?Kuna vitu hapa watu naona mnaongea juu juu tu,hivi jitihada za mzee kuwasaidia masikini ni kuwapa chakula na kula pamoja na JK? alafu baadaye unamuacha anaendelea kuwa omba omba?hivyo ndivyo kuwasaidia masikini,tena mara moja kwa mwaka?and why?
Binadamu haendelezwi bali hujiendeleza-Madela MadiluNaomba mtu achanganue ni kwa kiasi gani mzee Mengi ameweza kufanikisha suala la kuondoa umasikini,aidha kwa kutoa mikopo midogo midogo kwa wananchi masikini ama kuwa na mradi enedelevu wa kusaidia masikini?
Mbona wamiliki wa magazeti hayo wako wengi RA, Karamagi ,Nyaulawa,Ulimwengu ,Kubeneana mengi yameibuka hivi karibuni but why MengiHoja yangu kuandika haya nilitaka kuamsha hisia za watanzania ili watambue ni nini kinaendelea hapa nchini mwetu,kama utakuwa umefuatilia kwa ukaribu toka mwaka 2006 uanze utaona ni jinsi gani magazeti ya nyumbani yalivyoshindwa kujadili masuala muhimu yahusuyo maisha ya wananchi wa kitanzania,khali duni ya watananzania,nini wanahitaji ili waweze kusonga mbele
.nimeanza na Mzee Mengi,ni kwasababu yeye ndiyo anomiliki magazeti mengi na amejiingiza katika siasa ya maji taka kwa kuwa na urafiki na wanasiasa wanopenda siasa za kuchafuana,wamekuwa wakitumia gazeti lake kupitia yeye ili kuchafuana wao kwa wao ambayo haitusaidi sisi
Haya ndio mambo ambayo tunatakiwa kuyajadili na sio mambo ya MengiNdugu watanzania wenzangu,
Ni matatizo mangapi yanaendelea huko vijijini na hatuyafahamu?Je nani aliyejua kuwa wilaya ya Bagamoyo hakuna hata gari la kuzimia moto?Je kwanini wandishi wa kitanzania hawafanyi habari za utafiti na kuandika habari za kila jimbo huku wakipima maendele yaliyoletwa na mbunge aliyepo madarakani?