Hii hadithi ni ya uongo kwani Mengi ndiye muafrika wa kwanza kusoma arusha school enzi hizo na baba yake alikua tajiri Moshi nzima.Kama alikua masikini hivyo aliwezaje kusoma uingereza?Reginald Mengi kakuta msingi baba yake alikua na maduka double road na tenda za mashule yote mkoa haswa sare!msingi ulishawekwa kama vile Mohammed Enterprises alivyoendeleza vya ghullam dewji
Usiwe unakurupuka na kuanza kuandika kabla ya kusoma thread inasema nini. Umeambiwa alipata scholarship ya kwenda kusoma Scotland, sasa wewe unauliza aliwezaje kwenda Uingereza kama alikua maskini.
Uliza wazee wa moshi wanafunzi shule za msingi walikua wananunua uniform toka kwa Mzee Mengi.Unajua wakati wa mkoloni sukari ilikua unabandika chai unaenda dukani kununua sukari kama ilivyo sasa ila kuanzia 1973 ikawa sukari kupata ni kwa mgao wa RTC au serikali ya kijiji.Sasa wewe unasema eti mambo ya Tenda yameanza enzi za mkapa umejidanganya.Mengi hakopesheki ktk mabenki ya hapa tanzania maana ni msanii sii mlipaji kabisa wa mikopo
Anachuma hela ya maana wakati wafanyakazi wake wanaumia vibaya,sector zake kaweka wahindi ili watanzania wanaofanya kazi kwenye kampuni zake wanyanyasake yeye anahesabu mshiko wake mwisho wa siku anauza sura kwenye runinga ohoo katoa msaaada wakati mfanyakazi anakatwa hela kwa chupa ya soda iliovunjika baada ya gari kupanda tuta za kitanzania dah maisha haya