Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Hii hadithi ni ya uongo kwani Mengi ndiye muafrika wa kwanza kusoma arusha school enzi hizo na baba yake alikua tajiri Moshi nzima.Kama alikua masikini hivyo aliwezaje kusoma uingereza?Reginald Mengi kakuta msingi baba yake alikua na maduka double road na tenda za mashule yote mkoa haswa sare!msingi ulishawekwa kama vile Mohammed Enterprises alivyoendeleza vya ghullam dewji
Usiwe unakurupuka na kuanza kuandika kabla ya kusoma thread inasema nini. Umeambiwa alipata scholarship ya kwenda kusoma Scotland, sasa wewe unauliza aliwezaje kwenda Uingereza kama alikua maskini.