Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Zile suit za Mengi zinafuliwa kwa mkono?
Huu usanii umezidi kipimo. Labda aseme anampelekea dry cleaner.
Zile suit za Mengi zinafuliwa kwa mkono?
Huu usanii umezidi kipimo. Labda aseme anampelekea dry cleaner.
blind will never see.Mimi, Hoja Zake Za Msingi Sizioni. Naombeni Msaada Tafadhali!
kwanini isifuliwe?yesUmewahi kufua suit kwa mkono?
Kuna mengi tu huyu mzee hajasema nadhani....Mengi sana....Hadi aanze kufuliwa na kupikiwa si alikuwa keshampenda?
Good luck then.kwanini isifuliwe?yes
Hakufata pesa eee
Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake
Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao.
1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.
2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine
3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.
4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.
5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.
SOMO LA UJUMBE HUU.
Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO.
Chanzo: Blogu ya Wananchi