Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

Yeye ameulizwa na kujibu aliyojibu kwa hivi ukweli anoa yeye sisi hatuna haja ya kuchokonoa zaidi.
Anavyofanya ni mazuri kwa mujibu wa Mengi. kama lengo lake ni tofauti ni yeye anajua kuna haja gani sisi kulazimisha tunayofikiri.
halafu kuwafahamu watu ni kwa njia ya kuishi nao katika kazi au shughuli yoyote na si lazima kwa namna ambayo wengine wanasema. kama sisi ni great thinkers haya ya ndani ya mioyo ya watu tuyaache.
 
kyln sahiv ni mwendo wa kutupia original designer clothes, na vacations
 
Kwa hiyo alimgegeda kabla ya kumuoa? Kupikiwa chai mpk cha usiku alafu uondoke hivyo hivyo, mmmh
 
Zile suit za Mengi zinafuliwa kwa mkono?
Huu usanii umezidi kipimo. Labda aseme anampelekea dry cleaner.

wewe inakuhusu nin? kwanza ukiwa na pesa unaoa hata wake saba hata nane mladi tabia zao hao madem sisiwe akili topee za kupenda sana matanuzz
 


Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake

.

5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.

YAKO.

Chanzo: Blogu ya Wananchi
Namba 5 nimeipenda
 
skills-love-money-28968026.jpg
 


Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake

Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao.

1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.

2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine

3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.

4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.

5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.

SOMO LA UJUMBE HUU.
Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO.

Chanzo: Blogu ya Wananchi
Hakufata pesa eee
R.I.P Mzee wangu
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom