Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazungumzii kumpenda anazungumzia kumuoa...
Kwa hili wengi tutofautiana misimamo, lkn ukweli unabaki pale pale kwamba chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kuvurugika na kuharibika ni kukosa unyenyekevu kwa wanawake......na kukosa uaminifu wanaume.....
Comment nzuri kabisa.
kama mke sio mnyenyekevu kama beki 3 kwanin usiwe mwaminifu..anagonga beki 3
No dirt will stop a gold digger.
[h=2][/h]
Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake
Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao.
1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.
2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine
3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.
4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.
5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.
SOMO LA UJUMBE HUU.
Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO.
SOURCE : ALICHOKIJIBU BILLIONEA WA BONGO MZEE MENGI KUHUSU KUAMUA KUMUOA KYLN!! ~ Blogu ya Wananchi
sio cross multiplication ila
a=b
b=c
therefore
a=b=c
a=c
hence proved
hayo mengine tuwaachie wenyewe kivipi wakati wameyaleta wenyewe?hayo mengine tuwaachie wenyewe
tatizo la wanawake ckuizi wakienda shule kidogo tuuu wanataka ligi hizo unazozileta wewe...na hawa oleki... to hell with the Beijing stuff.Duh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.