uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Nimeipenda hiyo yakufua nguo kwa mikono nasio mashine wakati zipo tehtehteh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la wanawake ckuizi wakienda shule kidogo tuuu wanataka ligi hizo unazozileta wewe...na hawa oleki... to hell with the Beijing stuff.
Nimeipenda hiyo yakufua nguo kwa mikono nasio mashine wakati zipo tehtehteh
Unaanzaje kukataa kuolewa na mengi
hayo mengine tuwaachie wenyewe kivipi wakati wameyaleta wenyewe?
Anyhow, ni ujima wa hali ya juu kutegemea mwanamke wa kileo akae kama house maid kushinda ndani anafua na kupika chai mpaka dinner, hata yanayoendelea huko nje duniani hajui kazi yake kazi za ndani. Mi nataka mke ambae nikitoka kazini na yeye katoka kazini huko tupate vya ku discuss yanayoendela duniani, sio nikute mtu ananuka vitunguu vya kukaanga na kunipa story za sabuni imenichubua mikono leo au hadithi za vitamthilia alivyoangalia kwenye TV wakati anasubiri maji yachemke... screw that... manake huyo hata ukimueleza ma challenges na ma stress ya makazini huko hawezi kukushauri chochote manake she is living in the kitchen, a different planet
ivi ina maana wanawake wengine haya hawayafanyi kwa waume zao?
aisee kama hizi ndo sifa basi wengine wame overqualify
Kuna mengi tu huyu mzee hajasema nadhani....Mengi sana....Hadi aanze kufuliwa na kupikiwa si alikuwa keshampenda?
sio cross multiplication ila
a=b
b=c
therefore
a=b=c
a=c
hence proved
maadamu wamefunga ndoa, tuwaombee mema tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
Hapo chacha!!