LIKUD ukweli utabaki pale pale wanaume asilimia kubwa duniani wanapenda sana kudekezwa, kuona wanafanyiwa mambo yao na wake zao.
kuna wanaume ambao kufua, kupika wakifanyiwa haya na wake zao hufurah zaid kuliko makifanya house helper..................mwanzoni nilidhan ni waafrika tu ndio wanaopedna haya ila nikaja kukuta hata wazungu baadhi yao hasa watu wa uingereza wanapenda sana kufanyiw ahizi kazi na wake zao.
ni credit nzuri kwa mama kujua kuihudumia familia yako hasa kwenye yale mambo ya msingi ambayo wengi huona ni kazi za kudeligate. natoa mfano kuna siku majuzi tu nilikuwa nafua bafuni nikashangaa hubby kaja kukaa karibu yangu yangu tunapiga story nikajikuta ninasaidiwa tu kusogezewa nguo na kutoa za kwenda kuanika nlipo hamia kazi nyingine nikajikuta bado naendelea kusaidiwa na kupigiwa stori za hapa na pale basi jumamos yangu ikawa ya raha sana.
nilichogundua ni hiki kukaa tu sebuleni kutizama tv na kutengeneza nywele hakumfanyi mwanaume avutiwe na wewe zaid ila kila kitu kina ladha yake kwenye mapenzi hata ufanyaji wa hizi house works huongeza chachu manake muda anakuona unafanya hayo hujiuliza anawezaje kukutia moyo zaid?? basi inabidi kitandani akufurahishe zaid manake anajua antakiwa akumotivate lol!!!!!!
wanawake tusidharau haya mambo hata kidogo, yana contribution yake ila sasa kama pia huoni umuhimu wake you can just ignore them.
muda mwingine kazi kama kufua kuosha viatu vya mumeo hukufanya uwe na uhakika na aina ya nguo atakayo ivaa na hali yake. Am telling you nguo usiyoikagua huwez kujua wapi inahitaj marekebisho kama ya kurudishiwa kifungo, zipu iloharibuka, kiatu chenye hitilafu nk. mahala pekee pa kuyajua hayo ni wakati unapozikagua ili usafishe/ufue. ukishindwa hapo utafuliwa utapasiwa utsmpangia aje avae na siku ya kuvaa ndipo unakuta nguo haina kifungo mara sijui imetatuka nk
hii pia haina tofauti na upish kwa kweli huwa siwaelewi wale ambao wansema kazi zinawatinga adi wnaenda kununua mssosi mtani ya kuja kula na familia...........as a mother learn to plan your time table ili uweze kupikia familia japo mara moja basi kwa siku yaani ikishindikana kabisa ata week end tuu...............apo ndipo utakapoweza kuona wanao wanfurahiaje chakula cha mama, mumeo anapenda chakula kilichopikwaje nk afya ya familia huongezeka ikiwa mama atakuwa ni mpish wa familia yake
sorry nime act kizaman lkn kwangu mie hii inaapply zaid