Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.

Taratiiibu! Unajua haya maongezi yametokea wapi au umekurupushwa!
Nani asiekuwa na historia!
Tulipo leo ni matokeo ya historia zetu.Sijaleta huu ubuyu ili kupiga kura ya nani anataka kuamini au asiamini.Uchaguzi ni wako.
Kama hujajua kukumbushiana ya nyuma ni jadi yetu hapa.Nipishe kuleeee
 

Wewe naona unawashwa.Niwe na wivu na k-lynn like serious! :what::what::what:
Next time usiwe unadandia train kwa mbele UTAGONGWA!
Umetukuta mashosti tunahadithiana ubuyu wa hapa na pale unadakia! Unajifanya una uchungu kuliko mfiwa ee, this is celebrity's forum, we r minding their bussiness to the highest level possible! Exchanging chitchats and gossips, learning where we can; unapokuja hapa na risala zako za mama ushauri unanishangaza umetumwa!
Utake usitake hayo maisha alishayapitia.Nliemquote alinielewa coz kuna kitu alisema mpaka mie nkamrudisha nyuma kidogo.Alipo mama wawili sio matokeo ya uadilifu wake bali bahati na neema.
 
UkitAka kujua batamzinga kapita angalia uharo.
 
KAMA KUNA MTU anayeelewa basi KYLN ni mmoja wao
kyln amejiweka mbali na kashfa za kijinga, amejaribu kujijenga kuheshimika na haya ndio matunda ya kujiheshim

big up kyln.....wenye wivu wajinyonge

si kweli nampenda sana huyu mdada
ila ana mikashfa yake ya enzi hizo mengi kamuokoa sana
 

huu ndo ukweli sema ni silent killer
na alivyo na innocent face...!!!
 
Usipate shida wewe siyo vijizeee hapo kaskazini watu wanamiliki mizigo zaidi ya escrow
 
Sema nachompendea sasa hivi katulia sana.....mjanja yule

Hapo namsifu sana.Yani unapokuwa katika committed relationship na mtu anayekuzimia na kukupa good time kikweli kweli huna budi kuacha kuruka njia na kukimbia kimbia kama batamaji.
Aliona umri unaenda na chance kapata.Mjanja sana.
 
Hapo namsifu sana.Yani unapokuwa katika committed relationship na mtu anayekuzimia na kukupa good time kikweli kweli huna budi kuacha kuruka njia na kukimbia kimbia kama batamaji.
Aliona umri unaenda na chance kapata.Mjanja sana.

Aliambiwa lakini....hapo utulie na uache mapepe utapoteza mazima.Maana Mengi mwenyewe hacheleweshi,bi Dada akatuliza mpira kifuani kautua chini kitu nyavuni.
 
Huyu mrembo anaonekana anafuraha feki... Ukimwangalia picha nyingi sana ..
 
lilian kimaro nae alifunga ndoa na Mengi,kwa hiyo Mengi hii ndoa ya tatu,aisee

Mzee, alisikika akisema tangu aanze kukutana na wanawake, hajawahi kufurahia penzi na uhusiano kama wa Klyin. Sasa mnataka afunguke zaidi? Watu wazima hamjaelewa ana maana gani? Kuna mtu kawambia kuwa kuna mtu alikuwa anatoka na bint, walipoachana alichanganyikiwa. Bint, kajaliwa kuwa na machine ya uhakika
 
Sasa vp maswala ya kuridhishana humo chumbani... Maana ukweli age na purukushani kukuru za shem sidhani kama zitafikia age ya dada yetu...pengine binti angeweza kujipatia kamchepuko kabichi ka kummalizia hiyo kipande lakini kwa publicity yake ni ngumu......sasa inamfikisha wapi ujue .... kila ndoa ina strength na weakness zake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…