Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Everybody get past ...unafikiri ukisema Hivyo Leo nani ataamini ...na hata akiamini who cares ????
Wanasema Enjoy Your Present ,Forget Your Past ..
Oprah Winfrey ....Huwa anasema amekualia Maisha magumu ....alibakwa utotoni ....,akijaribu kutoka watu walitaka Penzi na pia at times alijiuza ...,.only in Africa mtu akishakuwa tajiri anataka Tumaini she was a saint au watu wanataka awe Hivyo .
Taratiiibu! Unajua haya maongezi yametokea wapi au umekurupushwa!
Nani asiekuwa na historia!
Tulipo leo ni matokeo ya historia zetu.Sijaleta huu ubuyu ili kupiga kura ya nani anataka kuamini au asiamini.Uchaguzi ni wako.
Kama hujajua kukumbushiana ya nyuma ni jadi yetu hapa.Nipishe kuleeee