miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kama anamimba au macho yangu hayaoni vizuri
mmmhhhhhh
Ha ha ha nani anaimba tena??watu wanakula kiapo hapo
Hebu mwangalie kyln vizuri kama Ana mimba
Yap kama mjamzito jamani.... warumi katika data zako hili huna?
Mapacha wengine
Loooh anazidi kulambisha watu vinegar
miss strong, picha zako zimegeuka una mpango wa kutuvunja shingo???Simple n clear
Kwa shida na raha
miss strong, picha zako zimegeuka una mpango wa kutuvunja shingo???
Shida hazihusiki hapa...
Kama anamimba au macho yangu hayaoni vizuri
Hahaha safiiiii hiyo ni zaidi ya kuachana na ukapera bali ni kuachana na umaskini jumla...Hongera zao sana dada ameshatoka kimaisha huyo big up mnooooo