Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mmhhhh nn?hatari
lakini salamq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhhhh nn?hatari
Ndo mtoto wako huyo anakwambia mama nimepata mchumba anamleta nyumbani ni mzee kuliko baba yake utamfanyaje? Hahahahahahahaha anakuletea mzee kama mengi tofauti ni pesa ndo anayo
ya bomani eeehh?Kwa shida na raha
atajua mwenyewe najifunza vingi sana hasa ukiwa na watoto wa kike
mradi kampenda tu mi mwenyewe mme wangu kanizidi 12 yrs
Hapo ana uhakika, hata wakiachana nusu ya mali wanagawana ambayo si chini ya Bilioni 200. K~Lyne Bilionea now
Hata kama hawajachuma pamoja?lazima huyu mmachame itakua kaweka agreement kuhusiana na mambo kama hayo.
12 years si bro wako.....watu wanapitwa 50 yrs
ya bomani eeehh?
hahahaaaa ye ndo first born kwao na mie kwao nimempita mmoja tu wotee wakubwa kwangu!mie mdogo kwao
atajua mwenyewe najifunza vingi sana hasa ukiwa na watoto wa kike
mradi kampenda tu mi mwenyewe mme wangu kanizidi 12 yrs
eenh jamani kumbe umeolewa tiari!!?
Ngoja nilambe ndimu jamaniii nimezidiwwaaaaa
Pole sana
Kamchukua mrembo wa nguvu 🙂Ni sheeedahhhhh wazee wanajua kutuliza mtu akatulia haswwa na pesa ikiwepo
Shosti ndimu itakutosha????
Tupia apple cider vinegar