Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Nimependa jina tu hapo....
 

Attachments

  • 1428145571213.jpg
    1428145571213.jpg
    72.6 KB · Views: 420
Ndo mtoto wako huyo anakwambia mama nimepata mchumba anamleta nyumbani ni mzee kuliko baba yake utamfanyaje? Hahahahahahahaha anakuletea mzee kama mengi tofauti ni pesa ndo anayo

atajua mwenyewe najifunza vingi sana hasa ukiwa na watoto wa kike
mradi kampenda tu mi mwenyewe mme wangu kanizidi 12 yrs
 
Ni sheeedahhhhh wazee wanajua kutuliza mtu akatulia haswwa na pesa ikiwepo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom