Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Mambo yote ni maswala ya URITHI, babu akivuta box, bint asije nyimwa kitu ha ha ha ha. hesabu nzuri saana, lakini maana amemshushia watoto wawili
 

Mkuu, huwezimkusaidia kulielewesha somo vizuri, kwa kurusha picha ya mama Abraham?
 

ahhh mkuu yani unabariki kabisa uchepukaji,plss inaumiza sn ujue,wanaume kucheat halali mwanamke ahh marufukh,
anyway it has more to do with ur egos n shit...
 
ahhh mkuu yani unabariki kabisa uchepukaji,plss inaumiza sn ujue,wanaume kucheat halali mwanamke ahh marufukh,
anyway it has more to do with ur egos n shit...

Aaaah mambo mengine yapo bana ila isiwe mazoea......
 

mh! Wanajf wote? Utawaweza kweli? Ningekushauri uwaongezee bando za kuperuzi internet wiki nzima
 
Alimliza kinje huyu alipotoroka siku mbili kabla ya ndoa kwenda South sijui huko Mauritious na mzungu wake miaka ya 2000.
connect the dot.
 
Come on my princess, you know I can't say NO! But you know what? Air Force One, Hell No... tunapeleka order Airbus kwa ajili ya kutengeneza custom made wedding plane na sio ile ya Obama ambayo hadi Bush kapigia ushuzi. Hii custom made wedding plane kutakuwa na 7 Star Hotel, baby, mbona unanidhalilisha? 5 Star Hotels zilikuwa ni karne 20, we ain't no longer talk of 5 Star hotels again... hizo ni kwa ajili ya vitajiri aina ya Mengi na huyo Mzee wako mwingine anayetaka kushindana na Diamond kwa kuwa na beautiful lips!

Natangaza rasmi kumpa Babu yenu Asprin kibarua cha kuandikisha majina ya JF Members ambao pamoja na mambo mengine atakuletea sizes za kila mmoja kwa ajili ya custom made outfits itakayoendana na mandhari ya hiyo custom made wedding plane.

Need anything more? Nitarudi, ngoja nijibu text ya Jakaya Kikwete, cjui nini tena huyu Mzee manake ni full usumbufu wakati nimeshamwambia sina mpango wa kuwekeza kwenye kiji-reli chao cha standard gauge.
 
Last edited by a moderator:
mh! Wanajf wote? Utawaweza kweli? Ningekushauri uwaongezee bando za kuperuzi internet wiki nzima

Ndio namsubiri NasDaz aje athibitisha kama ataweza, kama hawezi naenda kwa rugemalila yule sio bahili najua hayo yote hashindwi.
 
Namuunga mkono mengi ....Maisha yake yalikuwa yanakuwa ruined na alianza kuzeeka ghafla Baada ya matatizo na mkewe ..KIFO cha mwanaye na misimamo ya watoto waliobaki kumchanganya Juu ya kuoa au kuolewa ....huyu binti angalau amerudisha kwenye Furaha na Zaidi kampa watoto ...Ana haki
 
"Kwenye pesa watoto ndo wanatuliaa tulii" vaa miwani usione gere
 

Ndio maana nimekuganda kama ulimbo, Asprin atafanya tu hiyo kazi hata kwa kulia ila kazi itakamilika.
 
Pesa ndo visible God yani ndo proved God huyu ukimpata hakuna kinachoshindikana ...Tumtafute pesa sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…