stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Hahaha ndio maana yake....mi namheshimu sanaa mwanamke naye fight nae maisha from scratch tokea sina kitu mpaka mtu una make it big..
Hata kama nachepuka...she wud never ever find out, its out of love, care and respect. Kamwe siwez mdharau. Issue is wengi tunajisahau sanaa.
Kweli kabisa mkuu sio hawa wa sasa hivi paper loving,,,hata sie w/ume tunakosea sana ukishapata hela unataka kung'oa kina Kajala sijui Wema yule uliyeanza nae maisha unamuona skrepa.