mkuu nakuona unakuja kwa speed
Mengi is still married but separated .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nakuona unakuja kwa speed
Ndio nimeenda kuangalia.. kaanza kutumia jina official lol
Mbona mengi yupo separated .Aangalie mke wa mengi Mercy mmachame Yule .Partner na mumewe IPP hayaa[/QUOTE
Mengi alishaoaga lilian wa brela taratibu za kanisa hapo tayari hakuna ndoa btn mengi na mercy. Sababu ndoa ishakuwa batili
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
lilian kimaro nae alifunga ndoa na Mengi,kwa hiyo Mengi hii ndoa ya tatu,aisee
Ndoa ilifungwa na picha ziliwekwa hapa.sema hakuvaa white gown ,hiyo thread ilijadiliwa sana ila itakuwa ilinyofolewa kabisa.Sio walivumisha tu????
Ndoa ilifungwa na picha ziliwekwa hapa.sema hakuvaa white gown ,hiyo thread ilijadiliwa sana ila itakuwa ilinyofolewa kabisa.
Dinazarde tena kipindi hicho ilikuwa enzi za fisadi papa na nyangumi,hadi Rostam akampaka mbovu Mengi akimwambia kuwa anaoa na kutembea na wanawake wenye umri sawa na binti yake,ila mwe hivi ile sheria imepita ama?maana tusijefungwa bure
Tuthibitishie kwa kutuwekeaa picture, angalau tumjue huyu mwanamamaa

View attachment 239751
hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi
Halafu mwisho wa siku Mengi akaitisha mkutano na wanahabari kukanusha...
Madai yake yalikuwa ni kuwa kazushiwa na mafisadi ili kumuharibia jina...
Reginald anapenda sana totoz huyu mdingi...ila ndio maisha yake
View attachment 239751
hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi