Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Hahaha ndio maana yake....mi namheshimu sanaa mwanamke naye fight nae maisha from scratch tokea sina kitu mpaka mtu una make it big..
Hata kama nachepuka...she wud never ever find out, its out of love, care and respect. Kamwe siwez mdharau. Issue is wengi tunajisahau sanaa.

Kweli kabisa mkuu sio hawa wa sasa hivi paper loving,,,hata sie w/ume tunakosea sana ukishapata hela unataka kung'oa kina Kajala sijui Wema yule uliyeanza nae maisha unamuona skrepa.
 
Hahahaa usiku huu umenifanya nicheke....senga angekuwa nazo na yeye angekuwa na mbebez mkare

Kweli mkuu hapo Klyn anaona pua ya mengi kama ya Kinyarwanda wakati kama Ngumi, hela kitu kibaya sana kwakweli Negative inakuwa Positive. Senga angekua nazo mbona utamuona Hashim Thabeet ila kwasasa hivi utamuita majina yote ngoja azipate.
 
Mm nilichelewa ndege, manji na rostam walikuwepo pia.
 
yani kwenye hii sredi hadi sasa sirikali inaweza kujikusanyia 50 millions kama fine na kuwapa miaka 30 ya jela mkagawane wenyewe huko!
Hii Sredi nafikiri itasaidia kuinua mapato ta sirikali. Wangejua wakaanza upekuzi leo humuhumu na walioitunga nao watakuweko kule Segerea:heh:
 
Kweli mkuu hapo Klyn anaona pua ya mengi kama ya Kinyarwanda wakati kama Ngumi, hela kitu kibaya sana kwakweli Negative inakuwa Positive. Senga angekua nazo mbona utamuona Hashim Thabeet ila kwasasa hivi utamuita majina yote ngoja azipate.

Pesa sabuni ya roho,ata kama ukiwa mbaya ukiwa na pesa utaitwa handsome kaka,pesa noma
 

I think marriage is not a good idea when you have much money, hawachelewagi kuulizia paso kwa paso bila huruma. Uwaone hivyo hivyo wananukia fragrance, wakikuchenjia hao wanakuwa kama mashetani. Wajameni tuwe makini sana.


Watakavyopata wakiwa pamoja ni halalii kugawana,alivyovikuta si halali
 
The thing i like and proud of this honourable man, Ana moyo kusaidia sanaaa....He makes billions each year but good thing is that he gives back to his people unlike other businessmen. Nimejifunza vingi from him. Hata kama anafanya hvyo kupamba biashara zake. He is still a humble and giving man. Mungu amzidishie sanaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom