Hiyo ndio Tanzania yetu, where leaders on the frontline, dare to talk boldly only to think later on!Siyo Kilumbe tu, tukiomba wanajamvi walete quotes za viongozi kuropoka then next day baada ya kufikiri wanasahihisha utashangaa. Kama unakumbuka any of those confusing statements rusha hapa. Tunaanza na Kilumbe, who is next? Kazi kwenu wanajamvi
2.
3.
4.
5.
6.
Ungelifanya nini mzee? Uwezo huo unao bwanaNingekuwa na uwezo...
Nani katoa hii quote??????Walioandamana toka Longido mpaka Ikulu ni Wakenya, sio Watz. Next
KATIBU wa CCM mkoani Dar es salaam, Kilumbe Ng'enda amekanusha taarifa kuwa alipingana na ufafanuzi uliotolewa na mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi dhidi ya madai kuwa mfanyabiashara huyo maarufu si mwanachama wa chama hicho tawala.
Kwangu wote waropokajii..SS anafaidikaa zaidi na kuropoka kwani kumemfikisha hapo alipo..Ndo faida ya kuropoka, mwisho wa siku unajulikana kweli ni mjinga. Afadhali huyo mama afuate ushauri wa Malecela wa kupima akili.
Kwangu wote waropokajii..SS anafaidikaa zaidi na kuropoka kwani kumemfikisha hapo alipo..
Mengi ni mwana CCM tangu 1977!!!! hapa nani mwerevu zaidii?? naona CCM wanaendeleaa kufaidikaa na malumbanoo hayaa zaidii na ushabiki wetuu ndo (upofuuu) faida kubwaa kwao
Yule mwanamke wa maliasili sijui anaitwa magunga (herufi)Nani katoa hii quote??????
Yaani hichi chama kimekuwa kama kijiwe cha wavuta bangi vile