GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halloween inakaribia yatakusaidia wakati ukifika!Mgombea mwenyewe ana kichwa kama bamia. Sitaki kuona bango hilo nyumbani kwangu.
Siku hizi unaakili Sana."kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC.
EastAfricaRadio
Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi kabla sijawachenjia.
wewe mtu huwa unanikosha sana roho yangu kwa mabandiko yako humu, ubarikikiwe... swali, sasa utawafanyaje sasa wasipo yaondoa?
Miezi hii akili zake ziko sawa subiri masika.wewe mtu huwa unanikosha sana roho yangu kwa mabandiko yako humu, ubarikikiwe... swali, sasa utawafanyaje sasa wasipo yaondoa?
NEC wameanza kugawanyika."kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC.
EastAfricaRadio
Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi kabla sijawachenjia.
Ukiona wanaoongea saaaaaaaaana humu wanaoishi nyumba za kupanga huko mabanda ya uani. HahaaaaaMgombea mwenyewe ana kichwa kama bamia. Sitaki kuona bango hilo nyumbani kwangu.