Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

"kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC.

EastAfricaRadio

Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi kabla sijawachenjia.
Mabango ya maccm hayo
 
Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi kabla sijawachenjia.
Tatizo wao ndiyo wameshikilia mifumo yote ya sheria na Ile ya kutoa haki. Ukiyatoa hayo mabango kwenye Banda lako kesho yake wanakuletea zengwe kuwa umejenga kwenye hidadhi ya barabara ama open space.
 
Shida tupu hasa kwetu wafanyabiashara

Back
Top Bottom