Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

Mabango ya maccm hayo
 
Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi kabla sijawachenjia.
Tatizo wao ndiyo wameshikilia mifumo yote ya sheria na Ile ya kutoa haki. Ukiyatoa hayo mabango kwenye Banda lako kesho yake wanakuletea zengwe kuwa umejenga kwenye hidadhi ya barabara ama open space.
 
Shida tupu hasa kwetu wafanyabiashara
Tatizo wao ndiyo wameshikilia mifumo yote ya sheria na Ile ya kutoa haki. Ukiyatoa hayo mabango kwenye Banda lako kesho yake wanakuletea zengwe kuwa umejenga kwenye hidadhi ya barabara ama open space.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…