Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

'' mtoto acha kupiga mayowe,acha watu wayaone wenyewe''
UDOM ni chuo cha kata tu.juzi mmepewa pilau na nape mkasahau shida za Tanzania.

hata me niliona wanafunzi wote elf 20 wa UDOM walienda kupewa pilau na Nape Nnauye.
 
Mimi naona watu mnajadili ujingaaaaa mtupu siku hizi mtu kupata haangalii umetoka chuo gani bali
wanaangalia sifa zifuatazo
1.una reffereerr unayemfahamuu
2.umetokea ukoooo gani
3.umetokea familia ya nani
4.ww ni mtoto wa nani....katika nchii hiii
 
umeamua kudanganya makusudi.. UDOM ni chuo kibovu zaidi tanzania kama kuna kingine kama hiki kitaje
 
Mimi naona watu mnajadili ujingaaaaa mtupu siku hizi mtu kupata haangalii umetoka chuo gani bali
wanaangalia sifa zifuatazo
1.una reffereerr unayemfahamuu
2.umetokea ukoooo gani
3.umetokea familia ya nani
4.ww ni mtoto wa nani....katika nchii hiii

You are wrong, private sector tunaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi. Referal, koo, dini, sex hayo hayana nafasi kinachoangaliwa ni tija tuu
 
Tatizo la udom ni uongozi na wala sio mambo mengine

Uongozi umekaa kisiasa kimaslahi ya ccm na unajua penye mkono wa ccm hapana maendeleo na kunakuwa na kuendeleza uchafu wizi ukandamizaji na maovu yote yanakuwa yamelala hapo!
 
nani kakuambia walimu wanakatiliwa? Wewe umepata kwa sababu umesoma uticha

kale ka tabia kenu kakulipa hela kwa yule mwalimu wa kike kule chuo cha walimu awabadilishie marokeo mmeacha? au badokanaendelea kwa watroro wnye pase na wale wasiokuwa nacho kuendelea kungja sap?
 
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.

ofisi gan wewe?acha mbwembwe za kijinga.ww ndo unakitu,mbona graduates wa udsm wako mtaani kibao tu wanashangaa shangaa.acheni kujiona mpo juu wakati wote mpo Tanzania.una kadegree cha udsm unajitapa. je ungekua na degree ya harvad ungekuwaje wew?
 
''Udom'!bado sana..better ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye interview mpaka leo!

kweli hii fitina 2010_UDOM haikutoa B COM yoyote ile.
 
Wapumbavu hujadili upumbavu, hawa ma lecturer wa UDOM wameokotwa mtaani? Wanafundisha vitu vyao wenyewe?? Ma External examiner wanatokea manzese?? Mapoff. Na madocta walioko pale wamesomea wapi?? Acheni upuuzi wa kujadili mambo yasiyo ya msingi! Kama mtu anakosa ajira ni kwa sababu zake binafsi za kutokuwa sirias na anachofundishwa, kama kuna taasisi inakataa watu wa UDOM ni kwa sababu zao binafsi! Huu ni upuuzi kujenga taswira zisizo na mantiki kwa jamii! NON SENCE!
 
baba yake ndo amemaliza hiyo b com ,mwaka juzi.
 
najua unataka kuwa kama anayefanya swali moja halafu anasema pepa rahisi, udom itakuwa na jina ila siyo leo wala kesho, ni sawa na kufananisha Mzumbe Sec na Shule za Kata, Udsm huwezi fananisha na Udom, umekosa kazi pwc wana nini kwani? Me nimepiga nao sana interview zao mpaka partners nikadaiveji, hawauuliza professional qns.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…